Mume bora mwenye hekima na busara ni huyu hapa

Mume bora mwenye hekima na busara ni huyu hapa

Hata mimi nawashangaa sana mkuu, ingekuwa ni mtumishi wa kiume ndio kafanya haya ungesikia watumishi nao ni binadamu hawajakamilika, ila kwa sababu ni mtumishi wa kike wanatarajia awe malaika na mkamilifu siku zote
Inasikitisha sana mkuu.
Hao wenyewe wanaomsema unakuta ndoa zimewashinda, watoto nje kibao na michepuko .
 
Nilipoanza kumuona wasafi na diamond tayari niliishahisi ukengeufu mkubwa ndani yake,ameamua kujipa anaodhania ni uhuru,bila kujua kwamba anakwenda kujipaka shombo na kuonekana mhubiri asiyesimamia anachohubiri.

Ndio binaadam ana moyo na tuna uwezo tofauti wa kupokea matatizo,huwenda ni kweli yalimshinda tusiyoyajua,lakini kwa kuonyesha ukomavu alipaswa agone kuzungumzia lolote kuhusu mapungufu ya ndoa,biblia anayoiamini imekubali na kutambua kutengana,lakini haijazungumzia kabisa kuachana,swala hilo halipo.tungemuelewa kwamba katengana na mzee wake,ila sio kuanza kumsema ni kutengeneza kichaka cha kujificha.
 
We badala ya kuangalia maisha yako unafuatilia na ku judge ya watu.

Wachungaji wengi tu wanakula kondoo kwa kificho, wachafu tu, hata kama anaimba injili ni mtu kama sisi, kukataa kuitwa mchungaji kuna ubaya gani? Kukataa ndoa we inakuuma nini?

Anayekuwa ndoani ni yeye anafahamu changamoto anazokutana nazo, inawezekana hampendi huyo mume, ana kosa?

Nyie ndio wale wazazi wajinga mnalazimisha watoto wa kike kuolewa na mtu fulani kisa mihemko ya kidini na tamaa.

Hata akiamua kuimba bongo flavor kuna shida? Si maisha yake kachagua havunji sheria...
Wewe Mpumbavu, mleta mada kashauri Christine angenyamaza, kwa sasa yeye ni mtu mzima sana kwa sasa na si wa kwanza kuachana na mwanaume.
Keshaona mzee Shusho si type yake a move on akaendelee na celebrity anayemuona type yake. Aache upungufu wa kusingizia eti mungu au kulazimishwa ndoa. Kwa utandawazi wa sasa ni ngumu sana kwani mzee kuzaa na msichana mwenye hela au maarufu kama wewe si kigogo. Angalia wanawake wanasiasa maarufu wengi wamekimbia waume zao.
 
Nilipoanza kumuona wasafi na diamond tayari niliishahisi ukengeufu mkubwa ndani yake,ameamua kujipa anaodhania ni uhuru,bila kujua kwamba anakwenda kujipaka shombo na kuonekana mhubiri asiyesimamia anachohubiri.

Ndio binaadam ana moyo na tuna uwezo tofauti wa kupokea matatizo,huwenda ni kweli yalimshinda tusiyoyajua,lakini kwa kuonyesha ukomavu alipaswa agone kuzungumzia lolote kuhusu mapungufu ya ndoa,biblia anayoiamini imekubali na kutambua kutengana,lakini haijazungumzia kabisa kuachana,swala hilo halipo.tungemuelewa kwamba katengana na mzee wake,ila sio kuanza kumsema ni kutengeneza kichaka cha kujificha.
Biblia imeruhusu kuachana kama mke ni mwasherati.
 
Yeah inawezekana mkuu
It's impossible never ever! Women are behaviourally unpredictable creatures, that's why Sir God told Men to live together with Women by intelligence quotient "IQ".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
siku mojaq nilimkopeshaa mama mmoja mbezibeach kitanda akaanza kunipa nusu kha iliobakia kila nikipiga ajibu jana akaniambia lwan wewe KAKA ujawahi kutapeliwa ama mm ndio wa kwanza kujutapeli.....nikoo bar namuwazia ana maana gan

past kula raha
 
Nlichogundua ni kwamba kuna ukweli flani kwamba ile ndoa yao ilikuwa ya kulazimishwa. Umri na kila kitu ni tofauti. Makanisa mengi ya kipentekoste wana tabia ya kuwaozesha mabinti wanaume wasiowahitaji, nao hukubali sababu wanawatii watumishi
🤭🤭
 
Hili ni tatizo la kimalezi zaidi.
Ukiona mtu anaona aibu kuitwa Kwa Jina la Kwenye huu Ufalme anaoutumikia
I. Kuna uwezekano mkubwa hatumiki kwenye huo Ufalme tena.
Mungu anae atamkataa kweupe
 
It's impossible never ever! Women are behaviourally unpredictable creatures, that's why Sir God told Men to live together with Women by intelligence quotient "IQ".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sawa mkuu
 
Christina Shusho sasa hivi ndio anaonekana mwanamke mbaya kuliko wote kwa tabia yake, kila kona Christina Shusho
Ni kweli.Hata kama wapo wengine wa aina yake,ila amethibitisha hivyo kwa jamii.
 
Tatizo tunasahau hata waimbaji wa injili na wachungaji ni binadamu hatujui kitu gani kilimkuta huko ni bora tupunguze kujudge.
 
Inasikitisha sana mkuu.
Hao wenyewe wanaomsema unakuta ndoa zimewashinda, watoto nje kibao na michepuko .
Si ndio hapo sasa, ni vile tu hao wengine ni watumishi na maarufu ndio maana wanasemwa, lakini kuna watu wana maovu mengi na makubwa zaidi ni vile hawajulikani
 
Wanaume wengi wa kanisani ni extremely manipulators and controlling. Perhaps Tina alitaka kuachika muda mrefu tu tangu akiwa binti ila unakuta alikuwa anaambiwa we can't do this, tutaonekanaje kwa waumini na blah blah zingine. Mtu anazidi kuhold on until inafika point yakushindwa kuhold on any longer.

Kwahiyo labda lilikuwa ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom