100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Inasikitisha sana mkuu.Hata mimi nawashangaa sana mkuu, ingekuwa ni mtumishi wa kiume ndio kafanya haya ungesikia watumishi nao ni binadamu hawajakamilika, ila kwa sababu ni mtumishi wa kike wanatarajia awe malaika na mkamilifu siku zote
YaaaHilo ndo kosa lake
Angalia usijekuta unamtukana baba yako mzazi.Ke mtalikiwa umejibu kwa uchungu haswa, shushia maji ya kunywa taratiiibu BP itulie.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Wewe Mpumbavu, mleta mada kashauri Christine angenyamaza, kwa sasa yeye ni mtu mzima sana kwa sasa na si wa kwanza kuachana na mwanaume.We badala ya kuangalia maisha yako unafuatilia na ku judge ya watu.
Wachungaji wengi tu wanakula kondoo kwa kificho, wachafu tu, hata kama anaimba injili ni mtu kama sisi, kukataa kuitwa mchungaji kuna ubaya gani? Kukataa ndoa we inakuuma nini?
Anayekuwa ndoani ni yeye anafahamu changamoto anazokutana nazo, inawezekana hampendi huyo mume, ana kosa?
Nyie ndio wale wazazi wajinga mnalazimisha watoto wa kike kuolewa na mtu fulani kisa mihemko ya kidini na tamaa.
Hata akiamua kuimba bongo flavor kuna shida? Si maisha yake kachagua havunji sheria...
Biblia imeruhusu kuachana kama mke ni mwasherati.Nilipoanza kumuona wasafi na diamond tayari niliishahisi ukengeufu mkubwa ndani yake,ameamua kujipa anaodhania ni uhuru,bila kujua kwamba anakwenda kujipaka shombo na kuonekana mhubiri asiyesimamia anachohubiri.
Ndio binaadam ana moyo na tuna uwezo tofauti wa kupokea matatizo,huwenda ni kweli yalimshinda tusiyoyajua,lakini kwa kuonyesha ukomavu alipaswa agone kuzungumzia lolote kuhusu mapungufu ya ndoa,biblia anayoiamini imekubali na kutambua kutengana,lakini haijazungumzia kabisa kuachana,swala hilo halipo.tungemuelewa kwamba katengana na mzee wake,ila sio kuanza kumsema ni kutengeneza kichaka cha kujificha.
It's impossible never ever! Women are behaviourally unpredictable creatures, that's why Sir God told Men to live together with Women by intelligence quotient "IQ".Yeah inawezekana mkuu
🤭🤭Nlichogundua ni kwamba kuna ukweli flani kwamba ile ndoa yao ilikuwa ya kulazimishwa. Umri na kila kitu ni tofauti. Makanisa mengi ya kipentekoste wana tabia ya kuwaozesha mabinti wanaume wasiowahitaji, nao hukubali sababu wanawatii watumishi
Samahani sana, mimi nimekosa Baba [emoji119]Angalia usijekuta unamtukana baba yako mzazi.
Hili ni tatizo la kimalezi zaidi.Nlichogundua ni kwamba kuna ukweli flani kwamba ile ndoa yao ilikuwa ya kulazimishwa. Umri na kila kitu ni tofauti. Makanisa mengi ya kipentekoste wana tabia ya kuwaozesha mabinti wanaume wasiowahitaji, nao hukubali sababu wanawatii watumishi
Sawa mkuuIt's impossible never ever! Women are behaviourally unpredictable creatures, that's why Sir God told Men to live together with Women by intelligence quotient "IQ".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ni kweli.Hata kama wapo wengine wa aina yake,ila amethibitisha hivyo kwa jamii.Christina Shusho sasa hivi ndio anaonekana mwanamke mbaya kuliko wote kwa tabia yake, kila kona Christina Shusho
Si ndio hapo sasa, ni vile tu hao wengine ni watumishi na maarufu ndio maana wanasemwa, lakini kuna watu wana maovu mengi na makubwa zaidi ni vile hawajulikaniInasikitisha sana mkuu.
Hao wenyewe wanaomsema unakuta ndoa zimewashinda, watoto nje kibao na michepuko .
Wachungaji wengi hawajielewi, wanadhani binti akiozeshwa ni kama vile anapewa msaada.Naam kuna hili jambo la kulazimishiwa ambalo wazee huwa hawaliangalii, na ndoa nyingi za hivi huwa hazidumu
Naunga mkono hojaNimesema kama havunji sheria, ukiwa shoga tayari unavunja sheria.
Case closed.