Mume H.I.V anaitajika

Mume H.I.V anaitajika

Usiseme lugha ya namna hiyo Wewe mwenyewe Ni miongoni mwetu ila haijawa confirmed
usijali mama ndani ya ten years ukimwi utakuwa history kama ilivyo ukoma
Israel ana dawa ipo kwenye hatua za mwisho mwisho mmarekani ndo anatunyimia rizki Kwa sababu ya maslai yake
 
Huu ni mtego dada anatutega kama vipi leta vipimo
 
Mara ya kwanza naenda kupima kabla sijapima nilijiuliza ma swali mengi sana na yote nkayapatia majibu.....

Moja ya jibu ni kua kama ningekuta nshaasirika basi ninge mtafuta mwenzangu ambaye ana hali kama yangu.....

Nakupongeza sana kwa uamuzi wa kijasiri, Mungu akujaalie upate sana na hitaji lako .
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
Aliyekuambukiza umempeleka wapi??
 
Mara ya kwanza naenda kupima kabla sijapima nilijiuliza ma swali mengi sana na yote nkayapatia majibu.....

Moja ya jibu ni kua kama ningekuta nshaasirika basi ninge mtafuta mwenzangu ambaye ana hali kama yangu.....

Nakupongeza sana kwa uamuzi wa kijasiri, Mungu akujaalie upate sana na hitaji lako .
Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!
 
Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!
Mkuu nadhani huwatendei haki watu hapa, hata wewe huko salama kama unavyo dhani
 
Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!
Mkuu kipind hicho nilikua napitapita tu nisingeweza kumjua alieniathiri.....

Ata hivyo mpaka naenda kupima nilitembea na mtu aliessmekana kaathirika na nilipata info na ushaid kwa rafk ake ambae akujua kama tushadate tayar.....

Nilienda kupima ili nijue afya, kama nimeathirika ntumie dozi kama bado nipate PEP...... Bahat nzuri nilitumia PEP Na sasa najua namna gani ya kujilinda na maambukizi.
Nibgekuta nmeathirika ningeishi na yule dada tu.
 
Back
Top Bottom