Benard James
Member
- May 27, 2018
- 14
- 2
Mbna kmyUnapatikana vp ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbna kmyUnapatikana vp ?
NimekupmMbna kmy
OkNimekupm
usijali mama ndani ya ten years ukimwi utakuwa history kama ilivyo ukomaUsiseme lugha ya namna hiyo Wewe mwenyewe Ni miongoni mwetu ila haijawa confirmed
Aliyekuambukiza umempeleka wapi??Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Aliyekuambukiza umempeleka wapi??
Sidhani kama ndio topic kwa sasa!Aliyekuambukiza umempeleka wapi??
Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!Mara ya kwanza naenda kupima kabla sijapima nilijiuliza ma swali mengi sana na yote nkayapatia majibu.....
Moja ya jibu ni kua kama ningekuta nshaasirika basi ninge mtafuta mwenzangu ambaye ana hali kama yangu.....
Nakupongeza sana kwa uamuzi wa kijasiri, Mungu akujaalie upate sana na hitaji lako .
Mkuu nadhani huwatendei haki watu hapa, hata wewe huko salama kama unavyo dhaniEtii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!
Mkuu kipind hicho nilikua napitapita tu nisingeweza kumjua alieniathiri.....Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!