mume hatoi unyumba

kishatekwa na wajanja wanaojua kutoa gemu la ukweli... btw, everything being equal, kukosa unyumba tu kunaweza kumfanya mtu akimbie ndoa?
sasa si haki yake mwe! unyumba lazima baaaaaaaaabu
 
heehee Mbu nisome taratibu usije pofuka macho bure haya mambo yahitaji mwendo wa kinyonga kama si konokono.[Q
UOTE=Mbu;3521924]...mnh! nimekusoma nukta kwa nukta...tupo mstari mmoja, yaani nimekuelewa kabisaaaaa..hehehe...[/QUOTE]
 
Reactions: Mbu
akiuliza anaambiwa umekosa nini humu ndani unanjaa.huvai.......mm mpaka namuulizaga ninani alianzaga kumtokea mwenzake isijekua ni ww shost ndio mana jamaa anazingua(ila hua namulizaga in utani way asije nichunia bure mwaka nikafa na mm ndio shost wangu
 
 
hahaha sasa wewe nae wachekesha...atauliwaje na hiv wakati watu wenyewe hawakutani...haahaha
huyo yee apate elimu yake na apate mshefa wakumpa utamu huko mzumbe.
hapo kwenye black hapo mweh!
 
you are always my kabinti ShaDii, you are truly a little angle :tongue:

Ooooh' What can I possibly say hapa? lol :hug:



I am bursting na masifa hapa..... Dah!

This coming from the Original JF Lawyer..... It has been reviewed, checked, certified, filed and copied! THANK U.
 
Hivi wewe ulale na njemba miezi mitano halaf ikwambie haiwezi kukudownload kwasababu imetishwa na operesheni ya mgonjwa utaitafsiri vipi? hii haihitaji kamkoda bana
sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows
 
kwenye black nakuunga mkono
 
mpeni pole zake
kama inaamka na kulala mbele ya mkewe
kuna tatizo kubwa ila mme kaamua kufa na tai shingoni.

 
kuna nyimbo ya maneti ilikua inasema

wivu wivu ukizidi
inakua kero, mama mama maaaaa
hata nikienda kazini, unaona wivu
bebiiiii, unaona gereee, mama mama maaaaa


Pal huyo Maneti wacha tu aimbe.... Ingekua sio wivu wangu huyu ningekua nimempoteza siku nyiiiingi! Na I can not do that...... Hivo atendacho mbele yangu lazima ni question....lol.. Akitaka akafanyie mbele huko! Umeona mgongo wa Aminata lakini? Ngoja tu nikalale..... lol
 

mshauri rafiki yako aongee na Smile wabadilshane coz alishawahi kusema anazimikia ndume yenye sifa zinazoelekeana na hizo!
sio rahisi kwa mwanaume asiyekuwa na tatizo lolote kukwepa sex kwa muda wote huo hata ana vimada kiasi gani, hapo kuna tatizo ni vizuri akafanya uchunguzi wa akina inawezekana mwenzake ana tatizo kubwa sana ambalo anashindwa/anapata kigugumizi aanzie wapi kumweleza!
 
aminata hebu ongea na rafiki yako vizuri upate muda wa kumuuliza maswali ya hapo kwa papo,angalau utajua pa kuanzia
mi najua huyo mkaka anakimada njee sasa iko cha nje labda ni kikali sana kupitiliza ..........ama anajua akifanya na mkewe siku akienda kule ataulizwa nguvu ziko wapi............ama yule wa nje anatoa tigo mana wadada siku hizi hawajambo(just saying)
 
huyo shosti ajichunguze mwenyewe na amchunguze mumewe...... Kuna walakini mahala...
nishamuambia akienda huko mikoani we nenda kamtembelee medical kama yupo mana huenda hata haendagi hata huko mikoani kwenyewe
 

kuna kitu hapo pekundu...
 
Ila huyu Aminata 9 ni nani? mbona kaingia mitini, ningetaka nimPM namba ya shosti niangalie namna ya kumsaidia
ni mke wa kizito(miongoni mwa wenye nchi)..........nipe namba ya shost
 
..Tobaaaa
 
sasa unashangaa ilo dogo mbona kuna mjeda moro alikua anatembea na mtoto wa la sita mafiga primary aawa hampi mkewe hata kidogo...........miezi 8 ilikua kila akija akiona leo dalili ziko anaanzisha kosa anafoka mpka mke kimyaaaaaa haulizi wala nini..........mpaka kale katoto kakawa kila kakipita karibu na nyumba ya yule mama kanasema utafua sana magwanda ninachompa mm wewe hukiwezi.......mke ndio kushtuka kukimbilia kwa wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…