mume hatoi unyumba

nadhani ndiye mwe nye kesi, alidhani itakua rahisi tu... kumbe kuna malowya, wabwabwajaji na nakungwi wamemrudisha praimary ya mapenzi!!:doh:
sio mimi na ingekua mm si ningesema tu bila kuogopa khaaaa!
mimi siwezi kuvumilia ningembaka kwa nguvu lazima khaaa! kuninyima mi raha kisa na mkasa
 

siwezi kuingiza mtu chaka ishu iko hewani na shost wangu anaumia uko mweeeeeeh! anataaka alafu hapewi
 
LOL.... hakyanani kuna watu ukiwauzia kesi watakuua.... aminata saa hii ana kesi kali sana na lazma aombe ED kesho
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa khaa!
 
............ama yule wa nje anatoa tigo mana wadada siku hizi hawajambo(just saying)
na kweli
mwanamke akikumbana na mwanamme aliyewahi/anayekula hapo, hata afanye nini
mwanamme hatakaa aridhike na atakwenda tu kutafuta huo mtandao nje.
 
mpeni pole zake
kama inaamka na kulala mbele ya mkewe
kuna tatizo kubwa ila mme kaamua kufa na tai shingoni.
sa si aseme kama mambo hayawezi siku izi mweh! kuliko kutosema
 
na kweli
mwanamke akikumbana na mwanamme aliyewahi/anayekula hapo, hata afanye nini
mwanamme hatakaa aridhike na atakwenda tu kutafuta huo mtandao nje.
ningemkata iko kinakomtia kiburi tuone atafanyaje
 

...hahahaha....hii story is getting better and better, enhee!...:A S-frusty2:
 
sa si aseme kama mambo hayawezi siku izi mweh! kuliko kutosema

...jamani magonjwa ya BP na kisukari yameshika kasi sana miaka hii, bila booster kweli waweza adhirika
kwa mama watoto aliye na umri wa kama huyu dada...na kusema lililokusibu mnh...
acha aishi kwa matumaini, mganga hajigangi ee!
 
Kwa maoni yangu hapa kuna tatizo...tena siyo dogo,

Kama alivyosema mwanasheria (Kloro)...mwanamume anayemaliza miezi 5 bila chakula ya watu wazima, basi huyo ni mgonjwa tena yuko mahututi!!

Pia kingine cha kuchanganya/kushangaza...huyu baba anatoka huko anakotoka, kama kweli ni small house halafu anakataa chakula cha nyumba kubwa???...Basi ana matatizo ya kimaadili....Kama inawezekana basi atumiwe ile theread ya Boss akaisome. Kuna makabila mengine hili ni kosa kubwa....katika jammbo kama hili, lazima wafanye tambiko..Chakula cha mama watoto lazima kiguswe hata kama ni sawa na kuweka sahihi!

Pamoja na kilio cha mama, jamaa bado anatoa huduma za kibaba kwa mambo mengine as if nothing has happened or is happening....This is paradoxic!!

Anyway...Mama avumilie kwanza aendelee kulipiwa karo...

Babu DC!!
 
...hahahaha....hii story is getting better and better, enhee!...:A S-frusty2:
yani ikawa kila akirudi anakuja na stori ya kuhuzunisha kuliko ya jana yake ili umuonee huruma na kuacha kumuuliza kuhusu unyumba yy alale tu......badae akaanza safari za mikoani mara nimetumwa kikazi,mara nimetumwa kwenda kusaidia hopital ya mkoa moshi kcmc,mara morogoro,mara mbeya yani ikawa inapita hata mwezi hajamuona home anapiga tu simu kua kashindwa kurudi anatuma tu pesa M pesa na kulipa bili ya umeme na maji ju kwa ju

NDIO MANA NIKAMJIBU KUA HAKUNA SEHEMU NIMESEMA WANALALA KILA SIKU BILA KUFANYA SA SIJUI WAPI KUMEKUVUTIA ZAIDI

sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows
 
ila Aminata una details zote hadi ndogo ndogo kweli lol

simaanishi ni wewe 🙂
si ni shost wangu hajanificha hata kimoja kanipa stor yote.......mm nilijua ni utani sa alivopiga jana na kusema miezi5 nikaona sasa ishu nzito hii mweh!
 

Mhhhhhhhhhh! vichwa vingine sio vya karne hii. Vimewahishwa tu kuja duniani, hata hivyo ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa 'madesa' ya kufa mtu!

Salutation for you Madam!
 

Kwa uzoefu wangu,

Wanaume wengi wanalalamika kwamba mke mmoja hatoshi.....Sasa huyo anayekaa mwezi mzima halafu anaruka mara moja, basi ni mgonjwa.

Ila pia wanawake wanatakiwa kujua kuwa tiba ya kwanza katika matatizo kama hayo anayo mama mwenye nyumba...Ni hatari kuwaachia wanawake wa nje wamtafutie Mr/baba watoto dawa/tiba!!



ilo la msingi umenena

Siyo kila ndoa imesimama katika msingi wa mapenzi...zipo nyingi tu ambazo zimekaa kibiashara utadhani ni grocery shop!!

Babu DC!!!
 
Aisee mwambie ampeleke serikali za mitaa, mzee Mbonde lazima ataSolve issue.
 
si ni shost wangu hajanificha hata kimoja kanipa stor yote.......mm nilijua ni utani sa alivopiga jana na kusema miezi5 nikaona sasa ishu nzito hii mweh!

mi kila siku huwa nasema hii mambo ya ushosti balaa sana, wanasimuliana hadi mikunjo, watu wanabisha.... ona sasa
 

Ebo...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…