mume hatoi unyumba

mume hatoi unyumba

Jamani miezi yote hiyo kidude cha dada wa watu c kitaziba jamani?
 
Kwa miezi mitano au sita ni mingi sana, ushauri wa bure ni kuwa hapo hakuna mapezi tena, hivyo, mama naye aangalie uwezekano wa kuchepuka kidogo.
 
mi kila siku huwa nasema hii mambo ya ushosti balaa sana, wanasimuliana hadi mikunjo, watu wanabisha.... ona sasa
mana ya shost ndio iyo kila kitu unahadisiwa hata visivofaa pia....
 
...aisee lawyer achana kabisa na mavitu haya, hujawahi sikia kesi
mtu unalala nae kitanda kimoja lakini unaogopea [anavyokuchukia] asijekukufunika na mto?...
au...mnalala chumba kimoja lakini mwezi wa tano mmoja analala sakafuni?...

...kuta nne zinaficha mengi bana...mimi nadhani huyo mjomba dakitari labda
ana kaugonjwa ambako anajua akimpa haki yake mwandani anaweza kumuambukiza..
bibie asubirie tu valentine day, february 2013 haipo mbali kiviiile...

Mkuu Mbu naikubali hiyo sana na hata mwaka nitaikubali achilia mbali miezi mitano lakini hii hadithi ya Aminata haiko hivyo, hebu msome tena. Utagundua.
1) Hakuna kiashiria cha ugomvi kwa mwanamme na hivyo anaonesha kwamba hana ugomvi na mkewe lakini kuna kitu anaficha tu na hichi kitu ni very serious kiasi kwamba kinaathiri sex life yake, kama yuko serious kamchoka mwenza wake angeanzisha timbwili la ajabu ajabu ndani na sio kugomea unyumba, adhabu ambayo ni ya mwisho kwa mwanamme rijali kuitoa popote pale dunia hii (nisome vizuri hapa mkuu Mbu).

2)Angalia excuses zake, hazioneshi kukera zaidi ya kuwa childish na kutaka mwanamke aridhike kubakia (kila nikimsoma ni kama anamtaka huyu mwanamke abakie kwa kumfichia aibu fulani hivi)

Saying all that naweza nikawa totally wrong lakini for sure nabakia na msimamo wangu kwamba huyu jamaa hana kimada wala nini nje, kuna kitu anaficha.
 
Hapa kuna tatizo kubwa saana Aminata.... Huyo Mke kwa upande wangu namuona kana kwamba ni very SELFISH.... (Sorry dear kama nitakukwaza for she is your friend...) Sababu za mimi kufikiria yupo selfish ni as follows....

Kwanza... Hio story the way rafiki yako kakusimulia (taking it for granted kua umeandika kama alivokusimulia); Ni kana kwamba anataka awe sympathised kua yeye ndie anae onewa na mwanaume ndie wa kulaumiwa na afikiriwe kua ana mienendo mingine hasa huko nje hasa ya wanawake wengine.... Labda nakosea ila mimi ninavoelewa... Kwa mwanaume ambae ana hawara nje kwa miezi sita akujia usiku na mara asubuhi; kama kweli hilo ndio linalomuweka huko nje angeleta jeuri kwa mkewe kwa kutojali kama mkewe atajua kua ana mwanamke ama lah! IMO kama for 6 months ndio hivo hivo na mumewe anakuja lalama ugumu wa kazi nyumbani.... yawezekana ni kweli bana.... After all ma Doctor waligoma, na wale ambao walikua na roho ngumu ya kutokubali kuacha wito wao wa kujali wagonjwa kwa kweli wameelemewa.

Pili... Inaonesha wazi kabisa kua hampendi mume wake.... For jinsi maelezo yalivo ni wazi mume hajapunguza upendo na huduma ndani ya nyumba ndio kwanza kakazana na yupo reliable na responsible sio tu kwa familia yake (mke na mtoto) hadi ndugu wa mke.... (Kama upendo/mapenzi yangepungua inaonesha wazi huyo rafikiyo angegusia na hizo pande) Lakini kuto gusia kwake ina maana hata hajatafakari hili la Upendo na Mapenzi.... ila tu kazingatia tu tendo la 6/6 (nayo sio sababu hajapata) ila kuonesha tu kua anaonewa. Ukizingatia ni wazi anaishi na mumewe sababu ya huduma anayopata hawezi pata pengine.

Kwangu hio inanifanya nione anaibomoa nyumba/ndoa yake kwa mikono yake miwili.....

HOWEVER


  • Kuna baadhi ya kazi ambazo wanaume hufanya na kuwachosha mno.... To the extent hadi ile wazo la kufikiria kwenda kubanjuka (na twajua nguvu watumiazo pale) inamfanya ashindwe kabisa kufanya tendo. Hata hivo miezi sita ni mingi, angeweza hata jitahidi atake lakini akamiliza ndani ya sekunde.
  • Yawezekana mumewe ana psychological problems ambazo zimeathiri hadi nguvu zake za kiume.... Kumwambiea mke wake labda anaona aibu na kuona kama anaji emasculate; hivo kaongeza bidii na mda wa kufanya kazi ili tu kuepuka kua mda mrefu na mkewe kitandani.
  • Na kweli yawezekana ana mwanamke..... Ila jinsi story ilivo kaa kaa.... IMO Siamini kua ndio kigezo za kushindwa timiza tendo.

AU kama Lawyer Kloro alivo ongea......lol.... It may be true bana maana maadili haya! Only God knows.

Heri mimi sijasema...imekaa kama mtu anatafuta justification ya kutekeleza kile anachokifikiria vile ila kwa kuleta story kwamba anaonewa sanaaaa
 
sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows

hehehe hapo red hapo, naomba nikumbushie msimamo wangu nilioutoa huko mwanzo wa hii sredi.

Yaani Ashadii nakubaliana na wewe 100% lakini hivo anavyofanya ndio anazidi kudhalilika na kwangu mimi mwanaume anaecheat ndio anakuwa wild zaidi kwa waifu ili kuficha ushahidi. Option za huyu jamaa ni mbili.

Moja: Jogoo limekwenda holidei na halipandi mtungi (Ingawa hapa pia ili kulinda heshima inabidi akae chini na mke wake waongee ili aeleweke kwani kukaa kimya na akampa waifu mgongo tu ni kuidhalilisha jinsia yake)
Pili: Amekubali kupokea misaada ya david cameroun.

Kwangu mimi option ya kucheat haiingii akilini adhawazi mleta mada atwambie kuna ugomvi ambao umepelekea kukomoana.
 
pal, yawezekana huo msosi home pia hauliki... angekua bwabwa mama angeshajua tu, mabwabwa hayajifichi, hasa yakilala

i think kuna issue kubwa hapo, some people bifu huondoa kabisa hamu ya duduz, ila pia dokta anaweza akawa kapata mtu ambaye kila siku anakamua hivyo dokta akifika nyumbani ka-abdala kanakua kameshanyauka kama mkia wa kitimoto

Mzee hii inakuwaje? wanalala namna gani hawa mabwabwa?
 
Kama haliwi na mumewe akaliwe nje au atafute shoga wa kusagana nae. Simpo!
 
Kwa maoni yangu hapa kuna tatizo...tena siyo dogo,

Kama alivyosema mwanasheria (Kloro)...mwanamume anayemaliza miezi 5 bila chakula ya watu wazima, basi huyo ni mgonjwa tena yuko mahututi!!

Pia kingine cha kuchanganya/kushangaza...huyu baba anatoka huko anakotoka, kama kweli ni small house halafu anakataa chakula cha nyumba kubwa???...Basi ana matatizo ya kimaadili....Kama inawezekana basi atumiwe ile theread ya Boss akaisome. Kuna makabila mengine hili ni kosa kubwa....katika jammbo kama hili, lazima wafanye tambiko..Chakula cha mama watoto lazima kiguswe hata kama ni sawa na kuweka sahihi!

Pamoja na kilio cha mama, jamaa bado anatoa huduma za kibaba kwa mambo mengine as if nothing has happened or is happening....This is paradoxic!!

Anyway...Mama avumilie kwanza aendelee kulipiwa karo...

Babu DC!!

Ubarikiwe sana mstaafu. Umenena yalio mema
 
hahahaha..... Kheri hujasema eeeh? lol

Kama kweli ni mume wake why has she allowed to be out of control for all those months? Na yeye huyo bibiye kile chakula cha usiku anakula wapi? Au ndio zile habari za kale kwamba kina mama hayo mambo hayawahusu!
 
Kama kweli ni mume wake why has she allowed to be out of control for all those months? Na yeye huyo bibiye kile chakula cha usiku anakula wapi? Au ndio zile habari za kale kwamba kina mama hayo mambo hayawahusu!

Ndahani mwanamke anaweza vumilia kwa mda mrefu... For amini usiamini kuna baadhi ya wanawake wana waume na the means of them reaching the climax ni self satisfactory... anaenda na mzee kama kawa, then anatega akiwa peke yake anamalizia... Ndio maana ni rahisi kwa mwanamke kukaa mda mrefu kidogo... Ila naamini kua kwa wanaume hata kama anacheza saana na sabuni hawezi fikia hisia ya kuridhisha ukifananisha na akikutana na the thing itself.... Hivo upande wa the woman I can understand... The story is kind of missing something.... Ila hata mimi nikikaa tu One month na my man has not done anything in those lines.... Oooh I would be really worried!! Hatutafika miezi 6 bila kulalama...... labda kama sipo nae pamoja hapo hata mwaka it is OK.
 
shosti yuko wapi siku hizi, hii mada inamfaa sana

pal

genye ni soo, unaweza kuona dakika kama karne

Realy! I love when women talk free of their sexual life! Na wapenzi wenu muwe mnawaambia, sasa limwanaume linakaa miezi mitano tatu bila? Khaaa! We unajimaliza kwa vidole tu, ukienda kuoga! Cha kufia nini, tafuta kibajaj kikupaishe mpaka kileleni. Ze dokta wacha aendelee na mgomo cha muhimu anawasomesha! Ila nimegundua kumbe wanaume ni mitaji kwa hawa wasomi wadada! Sema wakishapata elimu utaona anasema im very strong, i didnt get support from my husband, nyamafu mkubwa, na ufe ukiwa umesimama, kenge mkubwa!
 
Back
Top Bottom