Mume HIV+ anahitajika

Usiweke limitation, nimeona documentally huko Kenya kuna jamaa NEGATIVE kaamua kuoa mwenye HIV kwa hiyari yake na sasa wana watoto kwa msaada wa madaktari.Inawezekana na huku Tz wapo wenye roho ngumu.
Ni kweli
 
Wewe Mleta mada hujikubali Kwanza!
Ungejikubali usingemchagua mtu HIV +ve
 
InshaAllah Allah akuwekeye wepese umpate unaye mtaka
 
Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
Ulifanikiwa my dear?
 
Jamii Forum sijaona mtandao wakuulinganisha au ufananisha na JF....mtu anaongea atakacho,anaomba atakacho halafu tofauti na mitandao mingine JF hata uombe Kitu cha ajabu UTAKIPATA.
 
Usiweke limitation, nimeona documentally huko Kenya kuna jamaa NEGATIVE kaamua kuoa mwenye HIV kwa hiyari yake na sasa wana watoto kwa msaada wa madaktari.Inawezekana na huku Tz wapo wenye roho ngumu.
Inawezekana kabsa popote duniani.ila ufate maelekezo utayopewa kikubwa ufate.note usifanye bila kuwaona madaktar au watoa huduma za afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…