- Thread starter
- #61
Ni kweliUsiweke limitation, nimeona documentally huko Kenya kuna jamaa NEGATIVE kaamua kuoa mwenye HIV kwa hiyari yake na sasa wana watoto kwa msaada wa madaktari.Inawezekana na huku Tz wapo wenye roho ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliUsiweke limitation, nimeona documentally huko Kenya kuna jamaa NEGATIVE kaamua kuoa mwenye HIV kwa hiyari yake na sasa wana watoto kwa msaada wa madaktari.Inawezekana na huku Tz wapo wenye roho ngumu.
Okay ni sawa.Wewe Mleta mada hujikubali Kwanza!
Ungejikubali usingemchagua mtu HIV +ve
😂😂😂😂😂
Wewe Mleta mada hujikubali Kwanza!
Ungejikubali usingemchagua mtu HIV +ve
Self stigma at it's highest levelWew unaye jikubali andika Uzi wako utafute mwenye H.I.V. Piece of shit
Kabisaa hapa umeongea ha ha haaaa.Wew unaye jikubali andika Uzi wako utafute mwenye H.I.V. Piece of shit
Ulifanikiwa my dear?Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
Unataka kujiwekaUlifanikiwa my dear?
Inawezekana kabsa popote duniani.ila ufate maelekezo utayopewa kikubwa ufate.note usifanye bila kuwaona madaktar au watoa huduma za afyaUsiweke limitation, nimeona documentally huko Kenya kuna jamaa NEGATIVE kaamua kuoa mwenye HIV kwa hiyari yake na sasa wana watoto kwa msaada wa madaktari.Inawezekana na huku Tz wapo wenye roho ngumu.
Mama yangu ulipata? Naogopa sana wake za watu
😂 😂 😂 😂 😂 ingia tu, wewe mwenyewe mme wa mtuMama yangu ulipata? Naogopa sana wake za watu
Lazima niulize maana ni m-pm sana mpaka nimechoka. Hata text zangu hajibu😂 😂 😂 😂 😂 ingia tu, wewe mwenyewe mme wa mtu