TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
So umepata wangapi mpaka sahiviNi kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So umepata wangapi mpaka sahiviNi kweli.
Tiba gani tena mkuu...unataka umtapeliKama utahitaji tiba, njoo PM
AsanteAll is well!!... Utapata sawasawa na mapenzi yako.
Wanaweza wakaja hata 100,ni kawaida au unadhan nipo mmoj tu dunia mweny HIV,?? so ni mm kujua naangalia nani ananifaa kwa vigezo vyang hasa dini so hakuna cha ajabu.So umepata wangapi mpaka sahivi
Mungu akubariki na akuzidishie kwa ushaur wako mzuriii.. nimeupenda.Ungeweka hata picha ili nisaidie kuulizia hapa mtaani
Acha utapeli!Kama utahitaji tiba, njoo PM
Mimi niamke pia ni Muislamu lakini nipo positive!, sijaajiriwa pia ni darasa la saba tu.Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
Amiina inshaallahInshaalaaahh kheir
Mnaelew jmn awe na hali kam yake wale wenye kaz kwa wasio na kaz pita kushoto.Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
Ha ha haaa, dahMnaelew jmn awe na hali kam yake wale wenye kaz kwa wasio na kaz pita kushoto.