Mume HIV+ anahitajika

Mume HIV+ anahitajika

Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
Mimi niamke pia ni Muislamu lakini nipo positive!, sijaajiriwa pia ni darasa la saba tu.
Vipi hapo.
 
Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
Mnaelew jmn awe na hali kam yake wale wenye kaz kwa wasio na kaz pita kushoto.
 
Back
Top Bottom