tulu
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 197
- 145
Labda hajafundishwa yeye angeomba yeyote na sasa ziko dawa za PrEP kwa wanandoa ambao hawafanani kiafya inawezekana kuoa au kuolewa na mwenye VVU na mkazaa watoto wazimaUsiweke limitation, nimeona documentally huko Kenya kuna jamaa NEGATIVE kaamua kuoa mwenye HIV kwa hiyari yake na sasa wana watoto kwa msaada wa madaktari.Inawezekana na huku Tz wapo wenye roho ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app