Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Mungu na akutimizie hitaji lako
 
Mimi ni Padri nawashauri wanaume wenzangu wa JF hata ambao hawana HIV waje mjenge maisha maana kama unatumia dozi vizuri ni ngumu kuambukiza mwingine, wazee jitokezeni

 

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
mzabzab mke huyo ili uache kuusambaza kama unavyosema humu. Utulie mjenge maisha kwani hakuna wala hakujawahi kuwa na mshindi wa Ngono duniani. Jiko hilo safi na zuri limejileta kwako.
 
Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa la Kinondoni...
🤣🤣🤣Sasa ukijikuta positive ndio tuchimbe kabisa kaburi au sio.?
 
Kwa hiyo Negative huwataki?
 

Kwa sasa kutafuta mwenzi kwa kuangalia HIV status imepitwa na wakati. Kuna 'serodisordant' wengi tu wanaishi pamoja na maisha yanaendelea. Tafuta mtu mnaependana, changamoto ya status inatatulika
 
Kwa sasa kutafuta mwenzi kwa kuangalia HIV status imepitwa na wakati. Kuna 'serodisordant' wengi tu wanaishi pamoja na maisha yanaendelea. Tafuta mtu mnaependana, changamoto ya status inatatulika
Hii bado sana Tanzania... Tanzania kuwa positive ni death sentence...
 
Samahani hainihusu,ila una miaka mingapi? Nisamehe sana ila naomba unijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…