Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Acha uongo na ujinga huwezi kuishi na mwanamke wa mtu miaka miwili bila kujua kuwa yeye ni mke wa mtu!

Naomba jamaa awe na wazo la kukupoteza huenda walionyuma yako na wenye tabia kama yako inaweza kuwa fundisho
Mke wa mtu unamjuaje?
 
هناك أم فلان معلمة في مدرسة ثانوية بمنطقة كيبامبا، أنا أحلب منذ أكتوبر 2022، الآن يوم الجمعة، ذهبت للاتصال من الساعة 8 صباحا حتى الآن 12 وأرجعتها إلى شوارع منزلها. بالمناسبة، ذهبت العائلة إلى المكان الذي رأى فيه زوجته يتم إنزالها في سيارة سوبارو. الزوجة خدعت أوبر، ولكن أين؟​
Mgh, kuna watu bhna
 
Hamna kesi hapo. Hata angekushika UGONI live si jinai. Akipiga simu pokea halafu hakikisha unamrekodi kisha kafungue kesi ya KUTISHIA KUUA KWA MANENO (JINAI) halafu mkutane mahakamani nakuhakikishia hiyo kesi inampeleka jela huku unaendelea kupiga bibie tena kitandani kwake.

Binafsi, niliwahi kufumaniwa CITY STYLE HOTEL na anayedaiwa ni mume wa mwanamke niliyekua nae faragha. Jamaa wamevamia na makamera room, tukiwa uchi. Wakachukua video na makelele kibao baada ya hapo wakanitishia kurusha picha za utupu mitandaoni. Baadae jamaa akarusha video aliyoturekodi kupitia whatsapp yangu. Akajiloga akapiga simu (voice call) vitisho vya kuniua mimi hapo NAREKODI tu Haikuchukua muda jamaa anapelekewa wito mahakamani kesi inaunguruma mwaka wa pili huu na jamaa bado anasota.
Bado unaendelea kula tunda kimasiara?
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Anayedaiwa kuwa Ni Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena. Hajawahi kumuambia kama kaolewa.
Kijambio kiko hatiani hiko.

Kila siku mnaambiwa mke wa mtu sumu hamtaki kuelewa.

Badili namba ikiwezekana hama mkoa kwa muda.
 
Hamna kesi hapo. Hata angekushika UGONI live si jinai. Akipiga simu pokea halafu hakikisha unamrekodi kisha kafungue kesi ya KUTISHIA KUUA KWA MANENO (JINAI) halafu mkutane mahakamani nakuhakikishia hiyo kesi inampeleka jela huku unaendelea kupiga bibie tena kitandani kwake.

Binafsi, niliwahi kufumaniwa CITY STYLE HOTEL na anayedaiwa ni mume wa mwanamke niliyekua nae faragha. Jamaa wamevamia na makamera room, tukiwa uchi. Wakachukua video na makelele kibao baada ya hapo wakanitishia kurusha picha za utupu mitandaoni. Baadae jamaa akarusha video aliyoturekodi kupitia whatsapp yangu. Akajiloga akapiga simu (voice call) vitisho vya kuniua mimi hapo NAREKODI tu Haikuchukua muda jamaa anapelekewa wito mahakamani kesi inaunguruma mwaka wa pili huu na jamaa bado anasota.
Bhs ww unaona sifa sana kmmk yan mke wake umle bado tena umpeleke jela,hujafanya sawa na ww ipo siku mke wako utatombewa hii itakurudia
 
Una pa kukimbilia , plate number ya gari amechukua , Simu namba anayo Cha kufanya we tolokea Sudan au Gaza utakuwa umejiokoa maana sijui kama unaujua mtiti wa huyo jamaa
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Anayedaiwa kuwa Ni Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena. Hajawahi kumuambia kama kaolewa.
Ata ku Pdidy
 
Kina nyundo walitumwa na Afande, Sijui saa hii itakuwa waliotumwa na nani, Ngoja tusubiri!!
 
Kugongwa agongwe nikiwa cjui chief. Lakin nakukuta nae. Najua jukumu la mwanume yeyote ni kuilinda familia yake. Huwez kumuacha kima mmoja aharibu familia yako kirahic. Ataharibu lakin na yeye yake hataona matunda yake.
Kwani Huyo mkeo hajui kwamba ni makosa kugawa nje?
 
Huwezi kuanza mahusiano na mtu bila kujadiliana. Labda kama mnanunuana.
Sasa kama akiniambia kaolewa ila anataka nimsugue, ntamuachaje? Lazima nimpe haki yake.

Huyo mkeo siyo mtoto mdogo kusema hajui anachokifanya.
 
Back
Top Bottom