cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
HUMU JF NI SAWA NA HUKO NDO MANA HATA WEWE UMEWEZAKUCHANGUIA ACHA ROHO MBAYAAAAAAAAAAAA
Siku ukitafuta mchumba niambie. Nimegundua wengi wanakuchukia humu kwahio ushindani utakuwa mdogo...πππNimependa unavyomjali mdogo wako, ila huko hata labda unapofanya kazi hujaona mtu?
Najua ni ngumu kumpa marafiki yako, ila hata marafiki hawana wandugu etc?
this is totally crazyMdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Elimu yake?Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten