Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Mume kwa mdogo wangu anahitajika

HUMU JF NI SAWA NA HUKO NDO MANA HATA WEWE UMEWEZAKUCHANGUIA ACHA ROHO MBAYAAAAAAAAAAAA

Eeeeh ni kituko gani umeandika cha mimi kuwa ulivyonitungia kuwa, acha kunidandia kutafuta kiki anzisha uzi wako uwaombe wakujie. Pita hukooooo
 
Nimependa unavyomjali mdogo wako, ila huko hata labda unapofanya kazi hujaona mtu?

Najua ni ngumu kumpa marafiki yako, ila hata marafiki hawana wandugu etc?
Siku ukitafuta mchumba niambie. Nimegundua wengi wanakuchukia humu kwahio ushindani utakuwa mdogo...🙂🙂🙂
 
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
this is totally crazy
 
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Elimu yake?
Wonderfull haujajibu baadhi ya maswali muhimu ya wadau, umebandika tangazo tu ukasepa zako..
 
Back
Top Bottom