Mume Mkristo

Mume Mkristo

inverse thinker

New Member
Joined
Oct 18, 2020
Posts
1
Reaction score
2
Habari!Mimi ni mwanamke wa miaka 30,Nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Najitokeza nikiwa na nia ya dhati kutafuta mume popote pale ndani ya Tanzania.

Sifa ninazohitaji,
Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu
Umri kuanzia 34-50
Awe na kazi/shughuli ya kuingiza kipato
Awe tayari kujenga familia
Awe mkweli na muwazi


Yeyote mwenye uhitaji kama wangu,karibu sana Pm.
 
am here i love you too naona #kibwengo anaharibu mood sasa kama vibwengo wengine walivyo ha ha ha 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom