Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Wanawake ni viumbe ambavyo kisaikolojia ni tegemezi,,, kwa hiyo wameumbwa kumtegemea mwanaume katika nyanja mbali mbali na si lazima liwe swala la kiuchumi.
Si ajabu kabisa mwanamke akawa na amani ya ulinzi iwapo hata mwanaume huyo ni mvulana wa shule ya msingi kwa maana kijana mdogo kabisa wa kiume,, maadam ni jinsia ya kiume basi inatosha kabisa kumshawishi mwanamke kwamba yupo salama.
Je ni nini ninachotaka kusema hapa, mwanaume ambaye ni mume mtarajia hakikisha unakuwa na kitu ambacho mwanamke atakitegemea kutoka kwako ili ile dhana ya utegemezi iendelee kuwepo katika maisha yake na ndio hapo umuhimu wako utaonekana kwake,,, kinyume cha hapo hautapata heshima yako kama mume ndani ya nyumba.
Hakikisha una uchumi mzuri hapa simaanishi uwe unafedha mingi sana,,, hapana uwe na uwakika wa familia kupata mahitaji yao ya kila siku
Hata kama mke nae ana kipato basi hakikisha umri wako uwe mkubwa kushinda wa mkeo hapo heshima itakuwepo kwako kwakuwa mkubwa ni mkubwa tu,,, sijui unanielewa mwamba?
Hakikisha elimu yako ni kubwa kuliko mkeo hapo napo heshima utaipata kutoka kwa mke,,, sasa wewe darasa la saba halafu kamuoe binti wa chuo uone kama utapata heshima kwake,, ni wachache sana watakuheshima,,, unajua kwanini mwanamke akiwa hana cha kumfanya akuone wewe upo juu yake kwa mambo ambayo nimeyagusia tambua utakuwa si lolote kwake wala chochote,,, labda kama utamfanya asikie vizur,,,najua hujanielewa hapo.
Ni hivi mwanamke ana masikio matatu sijui umenisoma,,, mawili yamezoeleka ila la tatu wengi wetu hatulijui vizuri na hili ukamfanya asikie vizur yani hata kama una elimu ndogo, kipato Kidogo, umri mdogo, maarifa machache ila hapa kwa kumfanya asikie vizuri basi utakuwa umekipata kibali cha kukuheshimu.
Hapa sikio la tatu ambalo mwanamke atakusikia vizuri na kuwa tegemezi kwako ni hakikisha kibao chako kina kuna nazi vizuri nadhani wakubwa mmenielewa,, ukifanikiwa hapa basi utamfanya atamani kuishi na wewe na utapata heshima yake.
Kwahiyo hakikisha siku zote uwe umezidi kitu fulani kwa mwanamke hata ukiwa mrefu zaidi yake hapo napo umejikusanyia Point mingi sana.
Saikolojia ya mwanamke ndo iko hivyo,,,unadhani kwanini wazee wetu waliishi na mama zetu vizuri, ni kwasababu walitegemewa kwa kipato kulisha familia hapo wanawake heshima ikawepo,,, lkn siku hizi wote tunashika hela je mwanamke atakuwa na kipi cha kupoteza? Ndio maana siku hizi dada zetu hawa ugomvi kidogo watakwambia bwana wee kama vipi tuachane bwana!
Kitu kingine cha ajabu kuhusu hawa viumbe ukiwa mlaini sana kwao hapo napo unapoteza heshima kwao, wewe sema ewala kwa kila kitu baada ya mda unakuwa si chochote kwake
Wanapenda wanaume madhubuti na wenye msimamo pia.
Ni hayo tu!