Mume mtarajiwa sikia hii

Mume mtarajiwa sikia hii

Ukiniuliza mimi,,wanatusumbua sana sisi

Ila kwa upande Wangu now siruhusu huo ujinga,,, mpaka some time huwa najiuliza ilikuwaje huko nyuma niliruhusu kuzinguliwa?
Ukifika hyo stage, unashukuru Mungu asee. Maana sio raising, Majority wanateseka.
 
Back
Top Bottom