Mume muathirika wa VVU anaitajika

Thank u.. Mungu mwema
 
Wewe mdogo wangu hustahili pole hata kidogo, wewe ni shujaa na shujaa hapewi pole hupewa pongezi....hongera kwa kuikubali hali yako, ni watu wachache sana ambao wapo kama wewe, hongera sana na M/Mungu aendelee kukujaalia Afya njema upate mume msikivu mtakayesikilizana na kusaidiana kwa hali na Mali
Kheri yako wewe umejipangia kesho yako kuliko sisi tulio hatuijui
 
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu ninalenga kwenye maisha ya ndoa hapo badae.
Hey.
Ah hautaki rafiki? Kama upo Dar na unatakiwa kufanya mazoezi naweza kua partner wako wa mazoezi....
 
Watafuata ushauri nasaha, hakuta kuwa na maambukizi mapya.
Nakusudia sasa sio kumtafuta mtu halafu wanaanza kudate mwaka mara mnaachana then anatafuta mwingine.... kama ni muislamu mambo mepesi ukimpata ni ndoa fasta
 
Asante sana
 
Nakusudia sasa sio kumtafuta mtu halafu wanaanza kudate mwaka mara mnaachana then anatafuta mwingine.... kama ni muislamu mambo mepesi ukimpata ni ndoa fasta
Na si lazima awe mwenye maambukizi, hata ambae haathirika anaweza kuishi nae vizuri bila kupata maambukizi kama anafuta ushauri nasaha.
 
Sasa wachangiaji wengi mmejikita sana kwenye ushauri wakati yeye kama yeye mpaka kufikia hapo kashapata ushauri wa kutosha, acheni apate wa ubavu wake, kama unavigezo alivyovitaja mpeni ushirikiano sio bla bla nyingi mmejeuka madaktari na mnajaza uzi
 
Nakusudia sasa sio kumtafuta mtu halafu wanaanza kudate mwaka mara mnaachana then anatafuta mwingine.... kama ni muislamu mambo mepesi ukimpata ni ndoa fasta
Ndo ninapofocus mpendwa
 
Pole, haya kamateni fursa wahusika wengine tushindwa kukidhi vigezo na masharti
 
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu ninalenga kwenye maisha ya ndoa hapo badae.

Kama unapenda na mie nikupe ushauri so long as unajua hakuna kitu ambacho Mungu hawezi kutenda, I mean Mungu anaponyesha ugonjwa(any decease or sickness) wowote at His own will! Kwa sababu wewe una upeo wa kuweza kufuatilia mambo angalia website hii hapa and be curious kuelewa then utajua cha kufanya au uteelekezwa what step to take so long as you have medical report utapona kabisa, www.youtube.com/SCOANVIDEOS or kama una kingamuzi kizuri angalia channel ya Emmanuel tv make close follow up of the events. Usually it costs nothing! yaani healing is free of charge what matters is faith since utaona live testimonies even if ni sleep apnea, diabetes, cancer stage four, kidney failure and so on.
 
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu ninalenga kwenye maisha ya ndoa hapo badae.
Unataka ndoa au kuzini kwanza
 
Vingine ni vihelehele tu anatafuta mme hajasema mmpe pole, ujue hizo pole zenu ndio zinaumiza hamjui tu, kipindi nipo umri fulan hivi nikipewa pole kwa jambo flan hivi hata nilikua poa najikuta naanza kulia kutokana na pole kua nyingi so punguzen hizo pole
 
Relax na furahia maisha...Mungu anakupenda..Furaha ya BWANA ni nguvu kwako... jitahidi uwe wazi daima..zingatia matibabu,kula vizuri,pumzika vya kutosha,mpe Mungu nafasi kubwa..Mungu kwanza mengine baadaye
Nimependa na kufurahi unavyomfariji huyu ndugu yetu.....Mungu mwema akubariki nawe!
 
Unamdanganya mwenzio wizi mtupu huo na usanii wajinga ndio wanaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…