Mume muathirika wa VVU anaitajika

Mume muathirika wa VVU anaitajika

Hakuna kitu kama VVU dada...hebu acha kupotoshwa...wewe ni mzima kabisa

Hayo mambo ya VVU sijui UKIMWI ni saikolojia yako tu
There we go... Thabo Mbeki at his best!!
 
Yupo ninaemfahamu ila anamiaka 40 takriban, kazi yake ni mpishi kwenye hoteli maarufu hapo DSM ni muislam na yeye anatafuta mwenza.

Ukiridhia umri nijuze niwakutanishe
 
Yupo ninaemfahamu ila anamiaka 40 takriban, kazi yake ni mpishi kwenye hoteli maarufu hapo DSM ni muislam na yeye anatafuta mwenza.

Ukiridhia umri nijuze niwakutanishe
Mimi hata 26 kamili sijatimiza so ninae muhitaj angalau asizid 32..hapo ni changamoto kidgo.
 
Sasa wachangiaji wengi mmejikita sana kwenye ushauri wakati yeye kama yeye mpaka kufikia hapo kashapata ushauri wa kutosha, acheni apate wa ubavu wake, kama unavigezo alivyovitaja mpeni ushirikiano sio bla bla nyingi mmejeuka madaktari na mnajaza uzi
Hahaa imeongea ukweli mkuu
 
Nani kawaambia anataka pole Zenu ? Mwenzenu anataka mume,nyie watu mbn vichwa vizito sana.
 
Unamdanganya mwenzio wizi mtupu huo na usanii wajinga ndio wanaliwa

Ingekuwa ni wizi kama kuna pesa zinazohitajika I means no financial implication, ni vema usome carefully ushauri(ndiyo maana wageni husema ukitaka kuficha kitu kwa wa Tanzania just put it in written form!) kwa hiyo soma ushauri wangu kwa makini.
 
Tb joshua ni tapeli na mwizi wa mchana kweupe nahitaji kusoma nini tena?amka ndugu
 
Mimi hata 26 kamili sijatimiza so ninae muhitaj angalau asizid 32..hapo ni changamoto kidgo.
Ok, kila la heri. Ila njia rahisi nenda kwenye vituo vya VCT ukiwaambia hitaji lako wanakutafutia mwenza
 
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu ninalenga kwenye maisha ya ndoa hapo badae.
Mbona kigezo cha dini ni tatizo
 
Pole sana Mdogo wangu MUNGU atakupa wakufanana nawewe. Kuish na vvu sio mwisho wamaisha na si lazima umpate mwenye vvu ata ambae ajaambukizwa. Unaweza kuish nae namkafurahia maisha kama weng
ne
 
Back
Top Bottom