Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
There we go... Thabo Mbeki at his best!!Hakuna kitu kama VVU dada...hebu acha kupotoshwa...wewe ni mzima kabisa
Hayo mambo ya VVU sijui UKIMWI ni saikolojia yako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There we go... Thabo Mbeki at his best!!Hakuna kitu kama VVU dada...hebu acha kupotoshwa...wewe ni mzima kabisa
Hayo mambo ya VVU sijui UKIMWI ni saikolojia yako tu
Mimi hata 26 kamili sijatimiza so ninae muhitaj angalau asizid 32..hapo ni changamoto kidgo.Yupo ninaemfahamu ila anamiaka 40 takriban, kazi yake ni mpishi kwenye hoteli maarufu hapo DSM ni muislam na yeye anatafuta mwenza.
Ukiridhia umri nijuze niwakutanishe
Hahaa imeongea ukweli mkuuSasa wachangiaji wengi mmejikita sana kwenye ushauri wakati yeye kama yeye mpaka kufikia hapo kashapata ushauri wa kutosha, acheni apate wa ubavu wake, kama unavigezo alivyovitaja mpeni ushirikiano sio bla bla nyingi mmejeuka madaktari na mnajaza uzi
Unamdanganya mwenzio wizi mtupu huo na usanii wajinga ndio wanaliwa
HahahahahahWewe sasa ndo umeleta utoto...
Tb joshua ni tapeli na mwizi wa mchana kweupe nahitaji kusoma nini tena?amka nduguIngekuwa ni wizi kama kuna pesa zinazohitajika I means no financial implication, ni vema usome carefully ushauri(ndiyo maana wageni husema ukitaka kuficha kitu kwa wa Tanzania just put it in written form!) kwa hiyo soma ushauri wangu kwa makini.
Ok, kila la heri. Ila njia rahisi nenda kwenye vituo vya VCT ukiwaambia hitaji lako wanakutafutia mwenzaMimi hata 26 kamili sijatimiza so ninae muhitaj angalau asizid 32..hapo ni changamoto kidgo.
Mbona kigezo cha dini ni tatizoMim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu ninalenga kwenye maisha ya ndoa hapo badae.
Tatizo lipo wapi?Mbona kigezo cha dini ni tatizo
Ondoa kigezo cha dini na hakuna kibayaTatizo lipo wapi?
Sawa kabisa umenenaPole sana Mdogo wangu MUNGU atakupa wakufanana nawewe. Kuish na vvu sio mwisho wamaisha na si lazima umpate mwenye vvu ata ambae ajaambukizwa. Unaweza kuish nae namkafurahia maisha kama weng
ne