Mume muislam anahitajika

Mume muislam anahitajika

Tangazo limekosewa sana na umetukosea pia
Yaani una mtoto wa bila ndoa na huku unatafuta anaemwogopa Mungu
Na bora umekimbia bila kumjibu hata mmoja
 
Hivi ww bidada unaolewa na dini au,afuu maswala umri mbona mwatutenga sana sisi vijana wapiga shoo za ukweli
 
Hivi ww bidada unaolewa na dini au,afuu maswala umri mbona mwatutenga sana sisi vijana wapiga shoo za ukweli
 
Kwahiyo mtoto ulimpata kwa uwezo wa roho mtakatifu maana haukuolewa?
 
Back
Top Bottom