Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Usijisumbue,huwezi mpata mwanaume wa kulea mtoto wa mwingine kiboya boya hivyo...yani kwa vyuma vilivyokazani nitunze mtoto ambaye sii damu yangu?bora ningekukuta tayari unae mtoto,kumbe ndio kwaaanza una mimba, hivi na masharti uliyoyatoa sii ata Allah wa waislam anakushangaa sana?
Kwa kukusaidia wewe jipitishe kwa wastaafu unaweza pata.
 
Nitarudi siku nikipata degree make sisi wa MEMKWA tumetengwa.

The world is not fair
 
Wewe ni mwanamke bora?
Km ungekuwa bora usingepita humu kutafuta mume bora

Akili yako sio njema kabisa
Eti usingekuja humu kutafuta mume bora and yet Na wewe umefungua Love connect Hivi Watu kama nyie huwa mnatokea kijiji cha Mtama kwa Nape? Why umkashifu MTU pasipo kosa.JF walifungua jukwaa hili kwa jili ya madhumuni hayo.Wewe ni nani uje kusema asingekuja humu.Na Wewe umefungua Uzi wake Ili nini.Ushauri Kama ya humu huyawezi.Anzisha bustani ya mbogamboga anza kulima Uza
 
Jukwaa hili halikufai.Ujuaji mwiiingiiii kumbe Nah
 
mpelekee baba mtoto wake unazazaa ovyo halafu unachagua nini
 
Unamkatisha tamaa mdada wa Watu as if Wewe ni muoaji kumbe mpigaji.Acha wenye uhitaji wa mke.Akishindwa si basi.We kinakuuma nini
Poa nimekusoma mkuu,ila maneno yangu hayaumbi,na pia sina nia mbaya naye bali nimejaribu kuongea kutokana na uhalisia wa maisha yaliyopo kwa sasa.
 
Figure no 8 bila ubishi na mguu wa bia
Kumbe uko sawa japo sijakuona, maana silaha ya kwanza ni kujiamini na wewe yaonekana unajiamini!, usifunge pm yako utachoka mwenyewe kusoma na kujibu pm za vidume wa jf japo barazani tunaponda lakini tukija huko boxini tunamwaga sera za kufa mtu.
 

Mkuu unapambana na single mazas, wamejaa povu na chuki hao balaa, wakiombea kupata real men...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…