Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Kaishaharibu asubiri tu huruma ya wagumba lakini rijal sijui labda awe Mme jina,yaani awe tayari kutawaliwa.

hajaharibu chochote kama unabisha muulize kama hajapata PM za wakaka wanaotaka wakayajenge,wewe una preference zako,sio za wanaume wote,nyie ndio huwa mnakwapua mtu kashafanya uhuni wee ila kwa vile hana mtoto basi mnaoa,what a shame?
 
Hili jina la kibabe sana, wakuswampa nikiri tu kuwa hivyo vigezo sina, namwomba Allah asinipe hivyo vigezo sababu nisingeweza kuja kuishi na wewe na sitaweza kuishi na wewe na sitaweza, nakutakia kila la kheri, Allah akufanyie wepesi umpate uolewe na Mchaga Inshalla
 
wewe umeshaharibu mazingira badala ya kumuomba mungu bila kuchoka upate Mme bora wewe unakuja na masharti yasiyoweza kutimizwa kwa mtindo huo Lea mwanao tu mume haji kwa mtindo huo.
 
Wewe ni mwanamke bora?
Km ungekuwa bora usingepita humu kutafuta mume bora

Akili yako sio njema kabisa
 
hajaharibu chochote kama unabisha muulize kama hajapata PM za wakaka wanaotaka wakayajenge,wewe una preference zako,sio za wanaume wote,nyie ndio huwa mnakwapua mtu kashafanya uhuni wee ila kwa vile hana mtoto basi mnaoa,what a shame?
Bora afanye uhuni ntajipa moyo lakini asiwe amezaa au kuwa na mimba,ukipata mimba au ukizaa ni dhahiri uhuni ulizid na hayo ndiyo matunda ya uhuni,Mwanamme rijali hawez tunza mimba au Mtoto wa mwenzie hiyo ni aibu katika jamii ya kiafrika labda tu kama itakuwa kimaslahi,hao ambao wamemfuata pm hakuna waoaji hao wazugaji tu wanayao,wanataka wamthaminishe ikiwezekana wale mzigo waache vumbi
 
Sifa zoote ninazo ila na wewe upo tayari kutunza na kuwahudumia watoto wangu kumi
 
Bora afanye uhuni ntajipa moyo lakini asiwe amezaa au kuwa na mimba,ukipata mimba au ukizaa ni dhahiri uhuni ulizid na hayo ndiyo matunda ya uhuni,Mwanamme rijali hawez tunza mimba au Mtoto wa mwenzie hiyo ni aibu katika jamii ya kiafrika labda tu kama itakuwa kimaslahi,hao ambao wamemfuata pm hakuna waoaji hao wazugaji tu wanayao,wanataka wamthaminishe ikiwezekana wale mzigo waache vumbi

kuna wanaume rijali wanalea watoto wasio wao,vizuri tu na wako happy kuyachukua hayo majukumu ,nimekuambia kisa wewe ni mwanaume usijichukulie nafasi ya kuwa unawafahamu wanaume wote,moja inaelekea hujui kuwa mimba inaweza kutungwa saa yoyote sio kwamba mpaka mtu 'azidishe uhuni'.......mbili wewe una uhakika huyo unayemuita baba,ni baba yako halisi????????au ni mtu anachukua tu majukumu ya kukulea?????? mwisho hao wanaomfuata PM ni real men,sioni mtu amtafute mwanamke mjamzito ale mzigo tu,hivi wewe uko real?
 
hahahahah wanaume wa JF wanachekesha sana,

hapa ukumbini watajidai ooh vigezo vingi utampata nani,sijui nini nini,ila huko PM utashangaa wanavyojipeleka ,kama sio wao vile,lol
Naomba uamin..anayekukataaa machon mwa wengi namoyon mwake hayumo

Huko PM km akija anakuka kutafuta pumguzio LA nyege lkn sio kuoa.

Wanaume niwanaakili sana.
 
kuna wanaume rijali wanalea watoto wasio wao,vizuri tu na wako happy kuyachukua hayo majukumu ,nimekuambia kisa wewe ni mwanaume usijichukulie nafasi ya kuwa unawafahamu wanaume wote,moja inaelekea hujui kuwa mimba inaweza kutungwa saa yoyote sio kwamba mpaka mtu 'azidishe uhuni'.......mbili wewe una uhakika huyo unayemuita baba,ni baba yako halisi????????au ni mtu anachukua tu majukumu ya kukulea?????? mwisho hao wanaomfuata PM ni real men,sioni mtu amtafute mwanamke mjamzito ale mzigo tu,hivi wewe uko real?
Na ndiyo maana nimesema Mwanaume mwenye sifa ya urijali ,hata mnyama Simba hafanyi upuuzi huo kama mnyama anakata hilo itakuwaje? mwanadamu mwenye utimamu ni dhahiri kuna uwalakini na nikathubutu kusema labda kama ni kwa maslahi,yaani kuna kitu anakitafuta kutoka kwa Mwanamke huyo,na kuhusu mim kujua kama ni Baba yangu kwel hilo haulizi ukituona sisi kama ndugu,kama unafahamu familia inayofanana ndiyo siye,yaani kama unatujua na ukamuona ndugu yangu haulizii,sana sana utaulizia wewe ni ndugu yake na 'ilitarakimura' au wewe ni ukoo wa fulani, nasema kitu ambacho kipo na siyo vya kudhahania,na kingine Mama zetu/Bibi zetu wanajua kuwa huyu Mtoto si wako baada ya kuzaliwa na kumtambua mara tu wambebapo kuna vitu wanavichunguza eg vidole,ila wewe kama wewe haujui na utaambiwa ukwel huo,na ndiyo maana huwa tunapenda hao Watu wawepo kipindi cha kujifungua ili kukagua kiumbe kijacho na usaidizi kwa ujumla maana ni muhim au hata shangaz.
 
what nonsense,bye mkuu,
 
Back
Top Bottom