Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Ila dada'ngu naona kama umepanic hivi,kwa nini usitulie tu ukajifungua,ukuze mtoto mpaka umri fulani hivi ndo uanze tena kuhangaika na wanaume!!Sisi wanaume tupo tu!!Au huwezi kuishi bila ile kitu kwa muda mrefu?!
Naweza
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Njoo p.m
 
hakuwa kwenye commtited relationship,sasa unataka azoe tu mtu waoane kwa vile tayari ana ujauzito?mmmnh
Kaishaharibu asubiri tu huruma ya wagumba lakini rijal sijui labda awe Mme jina,yaani awe tayari kutawaliwa.
 
Imenibidi nikasome upya post zako zote ,,,

Mara nyingi ulikua unatumia *Rafiki yangu* ila kiukweli ulikua niwewe mwenyewe.

Jamaaa alokupa ujauzito mmeshindwana sababu alikua hana pesa yakutoa mahali nambaya said hakua anaonyesha interest naww.

Kilichonishtua nihiki,, Bila shaka alokupa mimba anaakli timamu kabisaaa na nimsomi ,,swali langu nihil,,,

Ilikuaje jamaaa licha yakwamba anajua unakazi ,anajua umempita kipato Lkn bado Akaachana nawewe ???? How come wakat mmedumu kwa miaka zaidi ya Tisa ???

Kiukweli kuna tatizo lipo upande wako tena tatizo kubwa ,,unapaswa kulichunguza sana ,,vinginevyo utapata wakukupiga tuuu lkn sio mme.

Embu kwanza anza kujitathimin kisha ndo uone km nisahihi kufanya ivi...... Jifanyie kazi zako...tengeneza pesaa zaidi ,,, tunza mtoto ,,mwanamme atakuja sio mpaka utoe matangazo....humu utapata wanaotafuta urahisi Wa maisha.
Aya
 
Inavyoonekana u-kawaida sana....ungekuwa wa ukweli usingefika huku jf,ila nikukumbushe tu kwamba takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kwamba wanawake duniani ni wengi kulinganisha na wanaume,sasa wewe endelea kubaki na hivyo vigezo vyako mara paaaaap 40 miaka hii hapa afu watu washagonga sana.....hapo ndipo utakapojua kwa nini Idi amini anaitwa dada.
 
Back
Top Bottom