Na ndiyo maana nimesema Mwanaume mwenye sifa ya urijali ,hata mnyama Simba hafanyi upuuzi huo kama mnyama anakata hilo itakuwaje? mwanadamu mwenye utimamu ni dhahiri kuna uwalakini na nikathubutu kusema labda kama ni kwa maslahi,yaani kuna kitu anakitafuta kutoka kwa Mwanamke huyo,na kuhusu mim kujua kama ni Baba yangu kwel hilo haulizi ukituona sisi kama ndugu,kama unafahamu familia inayofanana ndiyo siye,yaani kama unatujua na ukamuona ndugu yangu haulizii,sana sana utaulizia wewe ni ndugu yake na 'ilitarakimura' au wewe ni ukoo wa fulani, nasema kitu ambacho kipo na siyo vya kudhahania,na kingine Mama zetu/Bibi zetu wanajua kuwa huyu Mtoto si wako baada ya kuzaliwa na kumtambua mara tu wambebapo kuna vitu wanavichunguza eg vidole,ila wewe kama wewe haujui na utaambiwa ukwel huo,na ndiyo maana huwa tunapenda hao Watu wawepo kipindi cha kujifungua ili kukagua kiumbe kijacho na usaidizi kwa ujumla maana ni muhim au hata shangaz.