Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
changamkia fulsaWakuswampa
Hahaha atalegeza tuSubiri ugonge 40 na masharti yako hayo
Unatakiwa ulipie na gharama za tangazoAnahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Yeye anataka uwe mume wa pili lakini hayuko tayari kuwa mke wa piliKabila limenicha solemba
Upo tayar kuwa mke wa pili pia
We nenda pm acha maswali maswali[emoji23] [emoji23]Kwani mwenye hiyo mimba and/or mtoto kashakufa?
Hahaha nataka nijue kwanza kabla ya kwenda nisije nikaishia kupigiwa!We nenda pm acha maswali maswali[emoji23] [emoji23]
Hahahaha hapo ndo kuna utata mtu mwenye mimba kutafuta mume wa kumuoa.Najiuliza tu kimyakimya aliyekupa hyo mimba hana vigezo hv? Na kama hana ulimkubalia vp
Mcha Mungu una mimba haina baba?Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
hapa siwezi tumaWeka picha tukuone
you cannot judge a book by its coverMcha Mungu una mimba haina baba?
kama huna vigezo kaa kandoJua la utosi hill afu masharti magumu kama ya kuomba kazi TISS.
Endelea kunsubir
Aamnaga ha second hand , we mwenyew utakua used tuHahahaha hapo ndo kuna utata mtu mwenye mimba kutafuta mume wa kumuoa.
Utashangaa anadai na harusi ya gharama kubwa wakati keshakuwa second hand!
Okay lets wait til we get to page 50.you cannot judge a book by its cover
Acha nidhamu ya wogaHahaha nataka nijue kwanza kabla ya kwenda nisije nikaishia kupigiwa!