Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Kabila limenicha solemba
Upo tayar kuwa mke wa pili pia
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa

Mbona sifa zako ni chache sana ukilinganisha na za Mwanaume unaye mtafuta?
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Unatakiwa ulipie na gharama za tangazo
 
Kwani mwenye hiyo mimba and/or mtoto kashakufa?
 
Najiuliza tu kimyakimya aliyekupa hyo mimba hana vigezo hv? Na kama hana ulimkubalia vp
bfe2df6dd3d0d1a79d5a746a6f926d17.jpg
 
Hahahaha hapo ndo kuna utata mtu mwenye mimba kutafuta mume wa kumuoa.

Utashangaa anadai na harusi ya gharama kubwa wakati keshakuwa second hand!
 
Jua la utosi hill afu masharti magumu kama ya kuomba kazi TISS.
Endelea kunsubir
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Mcha Mungu una mimba haina baba?
 
Hahahaha hapo ndo kuna utata mtu mwenye mimba kutafuta mume wa kumuoa.

Utashangaa anadai na harusi ya gharama kubwa wakati keshakuwa second hand!
Aamnaga ha second hand , we mwenyew utakua used tu
 
Back
Top Bottom