Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Mi Niko tayari na full sifa zote ulizosema ila tuma misimbazi 10 kwanza kama uko seriuos
 
mwanaume wa sifa hizi anawezakwepo ila sifa ulizonazo wewe yeye hazihitaji
 
Sijasikia mtu kaulizia kama Wakuswampa ana chura!!Labda tuanzie hapo kwanza!Jibu plz
 
Utasubiri sana manake wenye sifa hizo wengi ni wanaume wa wengine...
 
Acha nisubir tuu maana najua ivo vigezo lazima vipungue baada ya muda mambo yakishaenda ndivyo sivyo[emoji3]
 
Nasubiria akifikisha 40 masharti na sifa zitapungua kama hv>>>
1:Mwanaume yeyote tutakaesaidiana kupeana raha
2: dini yeyote hata kama hana poa
3: hata kama ameoa hamna shida ntakuwa nyumba ndgo
4:umri hata awe na miaka 15-80
5: elimu hata darasa la saba poa
6: hata kama hana kazi yeyote. Hapo ndo tutakapochangamkia fursa
 
Hivi kiuhalisia hii inawezekana? Yani ulee mimba na mtoto kisa black beauty
 
Ila dada'ngu naona kama umepanic hivi,kwa nini usitulie tu ukajifungua,ukuze mtoto mpaka umri fulani hivi ndo uanze tena kuhangaika na wanaume!!Sisi wanaume tupo tu!!Au huwezi kuishi bila ile kitu kwa muda mrefu?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ina maana mimba imekataliwa.

ungeweka kigezo cha kukubali mimba kwanza
 
Hivi kiuhalisia hii inawezekana? Yani ulee mimba na mtoto kisa black beauty
Haaaaaa haaaaaaa hata angekuwa white plain nae siwezi kujitwika mzigo wakati mademu kibao bado saa 6 ndio kwanza wananukia ubichi
 
Mcha Mungu lakini tayari unakatumbo ambako unataka kuwa adopted mda sio mrefu...kweli we ni mcha Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…