Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna cha kusubiriNaona wazee wa midondoko kama kawaida yenu
mwanaume wa sifa hizi anawezakwepo ila sifa ulizonazo wewe yeye hazihitajiAnahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Sasa kama wewe mchamungu huyo mtoto unaetarajia kumzaa karibuni mimba ulipataje bila ndoa?Mcha Mungu
Utasubiri sana manake wenye sifa hizo wengi ni wanaume wa wengine...Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Ila dada'ngu naona kama umepanic hivi,kwa nini usitulie tu ukajifungua,ukuze mtoto mpaka umri fulani hivi ndo uanze tena kuhangaika na wanaume!!Sisi wanaume tupo tu!!Au huwezi kuishi bila ile kitu kwa muda mrefu?!Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiria akifikisha 40 masharti na sifa zitapungua kama hv>>>
1:Mwanaume yeyote tutakaesaidiana kupeana raha
2: dini yeyote hata kama hana poa
3: hata kama ameoa hamna shida ntakuwa nyumba ndgo
4:umri hata awe na miaka 15-80
5: elimu hata darasa la saba poa
6: hata kama hana kazi yeyote. Hapo ndo tutakapochangamkia fursa
ina maana mimba imekataliwa.Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Haaaaaa haaaaaaa hata angekuwa white plain nae siwezi kujitwika mzigo wakati mademu kibao bado saa 6 ndio kwanza wananukia ubichiHivi kiuhalisia hii inawezekana? Yani ulee mimba na mtoto kisa black beauty