Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Umri wako bado ni btn 21-24.... Ngoja umri ugonge from 25ff tuone kama hizi sifa za mwanaume unayemtaka kwasasa utaziorodhesha tena.....!!!
 
Kama huwezi wewe wengine wanaweza
Mbona nimeona mwingine ana 1 year kid.Anahitaji kama yy??
Acha kukatisha tamaa Watu.
Who knows akapata?
Kawa wewe huwezi ni wewe
 
Utasubiri saana mwanaume atafutwi kwa vigezo
 
hapo kwenye umri ndipo mnapokoseaga.. haya wasubirini zilipendwa wenu. cc vjana nao tuna mapenz ya kweli sio wote ni kizaz cha nyoka..[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Anataka mcha Mungu lakini asiwe mlokole [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
 
Huyo alikutwisha huo mzigo keanini asikuoe?umenidhangaza kusema unataka mkristo lakini asiwe mlokole,sijui mlokole unamuogopea nini labda!
 

Dada angu subiri ujifungue kwanza jamani,kwani una haraka gani?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Umeacha kuswampa?
Akinenepa ukiwa tayari mnaishi wote nafasi yake itakuwaje?
 
Mcha Mungu ilhali umepata mimba nje ya ndoa!,hakika kumpata Mume kwa vigezo hivyo utasubiri saana labda ubadili mbinu ya ushambuliaji
 
Kijana naona umesahau ule usemi "Mso hili ana lile"[emoji38] [emoji23] [emoji23]
Kazi kweli kweli, kwa sifa hizo bora uzae wako[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
wala usipunguze vigezo,

wengi tunakosea hapo,

unachukua mtu sababu tu yuko available,sio kwa vile anakidhi vigezo vyako,

mnachukuana,afu baadae mnaanza kuchepuka kupata vingine nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…