Coolant
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,190
- 2,031
Haaaaaa haaaaaaa hata angekuwa white plain nae siwezi kujitwika mzigo wakati mademu kibao bado saa 6 ndio kwanza wananukia ubichi
Huyu atakua na stress za kuachwa na kibendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaa haaaaaaa hata angekuwa white plain nae siwezi kujitwika mzigo wakati mademu kibao bado saa 6 ndio kwanza wananukia ubichi
Napenda majibu yako.Sasa huyu ndo Mume.Itakua poa sana, hapo tutaongeza mmoja tu
Kama huwezi wewe wengine wanawezaYaani dada umebeba ujauzito wa mtu halafu unatafuta mwanaume wa kumtwisha mzigo. Ukimpata mwanaume kwa hivyo vigezo hapo ujue umepata zuzu. Mwanaume anayejitambua hawezi vutiwa na chochote ulichoorodhesha hapo wakati wako wanawake simple waelewa tena fresh kuliko wewe.
AmenHayo masharti yako ni mhimu ukamwomba mungu zaidi
Utasubiri saana mwanaume atafutwi kwa vigezoAnahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Unapigwa kavu bahati mbaya!!unanifananisha na nani? bahati mbaya tu, japo wengi hawaamini katika bahati mbaya
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Wewe usimchagulie mtu mkuu asije kukulaumu baadae mwache achuje mwenyewe.Napenda majibu yako.Sasa huyu ndo Mume.
Topic closed.
Nendeni Pm mkayajenge.
Wengine waombe samahani