Mume mwenye sifa hizi anahitajika

hapo kwenye umri ndipo mnapokoseaga.. haya wasubirini zilipendwa wenu. cc vjana nao tuna mapenz ya kweli sio wote ni kizaz cha nyoka..[emoji48][emoji48][emoji48]
Kua kwanza
 
Kama huwezi wewe wengine wanaweza
Mbona nimeona mwingine ana 1 year kid.Anahitaji kama yy??
Acha kukatisha tamaa Watu.
Who knows akapata?
Kawa wewe huwezi ni wewe
Word
 
Ila dada'ngu naona kama umepanic hivi,kwa nini usitulie tu ukajifungua,ukuze mtoto mpaka umri fulani hivi ndo uanze tena kuhangaika na wanaume!!Sisi wanaume tupo tu!!Au huwezi kuishi bila ile kitu kwa muda mrefu?!
Naweza
 
Njoo p.m
 
hakuwa kwenye commtited relationship,sasa unataka azoe tu mtu waoane kwa vile tayari ana ujauzito?mmmnh
Kaishaharibu asubiri tu huruma ya wagumba lakini rijal sijui labda awe Mme jina,yaani awe tayari kutawaliwa.
 
Aya
 
Inavyoonekana u-kawaida sana....ungekuwa wa ukweli usingefika huku jf,ila nikukumbushe tu kwamba takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kwamba wanawake duniani ni wengi kulinganisha na wanaume,sasa wewe endelea kubaki na hivyo vigezo vyako mara paaaaap 40 miaka hii hapa afu watu washagonga sana.....hapo ndipo utakapojua kwa nini Idi amini anaitwa dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…