kama wewe hauna kazi au biashara inayokuingizia kipato alafu unahitaji mume mwenye biashara au vyanzo vya kipato, usitegemee utapendwa.
Sasa wewe huna hela utamwambia nini? atakumega na akichoka anaenda kula wengine utafanya nini? kumfukuza huwezi maana nyumba ni yake, pesa zake, inshort ndio maana ndoa nyingi zinavunjika.
Msikubali mfike hadi ndoa ukiwa unategemea huyo mpenzi wako lasivyo jiandae tu kwa matukio.
Na kwetu wanaume hivo hivo hatuwezi tegemea mwanamke ndio maana ndoa ambazo mke ni tajiri zaidi, mume kama sio mbabe lazima anyanyasike ....