Mume/ mwenza mkristo 35 - 45

Mume/ mwenza mkristo 35 - 45

Vyote nimefuzu ila shida ni "Dear Gambe"[emoji24][emoji24]
 
Njoo PM
Mume mwema karibu
Mwenye malengo ya ndoa
Mwenye afya njema
Awe tayar kupima afya HIV
Mapenz ya dhati
Mkweli na committed
Mkristo / mchaji Mungu / hofu ya Mungu
Aliye tayari kuhimili majukumu ya familia
Mfanyakazi au biashara halali
Only serious
Sihitaji masihara
PM

Mm ni mkristo
Mkweli
Mwaminifu
Umri wangu ni kati ya 27_ 35
Committed na mvumilivu
Mwenye mapenz ya dhati na kweli
 
Ufafanunuzi kuhusu umri wako ni muhim sana itakusaidia kuepusha usumbufu mrembo
 
kama wewe hauna kazi au biashara inayokuingizia kipato alafu unahitaji mume mwenye biashara au vyanzo vya kipato, usitegemee utapendwa.

Sasa wewe huna hela utamwambia nini? atakumega na akichoka anaenda kula wengine utafanya nini? kumfukuza huwezi maana nyumba ni yake, pesa zake, inshort ndio maana ndoa nyingi zinavunjika.

Msikubali mfike hadi ndoa ukiwa unategemea huyo mpenzi wako lasivyo jiandae tu kwa matukio.

Na kwetu wanaume hivo hivo hatuwezi tegemea mwanamke ndio maana ndoa ambazo mke ni tajiri zaidi, mume kama sio mbabe lazima anyanyasike ....
 
Yaani hadi nifikishe miaka 35 nitakuwa napishana tu na warembo.
 
Hapo kwenye hiyo 27-35 kwa nini usiweke umri halisi ili upate watu halisi zaidi kwako huko PM ?
 
Kama uko tayari kuwa mke wa pili karibu sana. Mimi ni mume mwema kwa ajili yako. Sifa zote unazozitaka ninazo.
 
Unatumia jina feki afu unaogopa kutaja umri wako sahihi!

Umesema u-mwaminifu, je una bikra!
 
Back
Top Bottom