Mume na Mchepuko wamweka Njia Panda...

Mume na Mchepuko wamweka Njia Panda...

Hapo chacha nadhani kwa kuwa dr Joe alikuwa anajua kuwa ana mume anaishi nae hatazingua hata ikitokea mtoto sio dam yake maaana ni kitu alikua anakijua.
Akichagua Joe (Dr) halafu akaja kujifungua mtoto wa mumewe (Sam)?
 
Hapo chacha nadhani kwa kuwa dr Joe alikuwa anajua kuwa ana mume anaishi nae hatazingua hata ikitokea mtoto sio dam yake maaana ni kitu alikua anakijua.
Hapo umenena.......
Kwahiyo Aku akajibanze na Dr maisha yaendelee sio?
 
Teh teh...kwanini unasema nazingua?
Mbona hainihusu hii kitu....
Kwa maarifa niliyojaliwa ...ningejua cha kufanya.....
Haya niambie Aku afanye nini?

Khaa... unaficha vingi kwa maarifa uliyojaliwa?
 
Aku alijuaje kuwa kipimo cha mimba alichotupa kwenye taka kimeonekana na mumewe?
Aku alijuaje kuwa picha za scan zimeonekena na huyo dokta wa mapenzi??

Tuanzie hapo kwanza.
 
Kwa hivyo...itabidi avunje ndoa.....maana mumewe hayuko tayari kuwa familia.
Na akizaliwa wa mumewe?
Asivunje sasa hivi. Akikaribia kujifungua inabidi arudi kwao ili aweze kujua mbivu na mbichi kabla ya wahusika alafu mambo mengine yafuate
 
Aku alijuaje kuwa kipimo cha mimba alichotupa kwenye taka kimeonekana na mumewe?
Aku alijuaje kuwa picha za scan zimeonekena na huyo dokta wa mapenzi??

Tuanzie hapo kwanza.
Mumewe alimuuliza ....akamwambia ndio ni kipimo chake.....
Na mchepuko alikutana na print out ya ...sehemu wanayofanyia kazi...akauliza akapewa jibu.....
 
Asivunje sasa hivi. Akikaribia kujifungua inabidi arudi kwao ili aweze kujua mbivu na mbichi kabla ya wahusika alafu mambo mengine yafuate
Ni safari ndefu....kuishi na uwalakini....
Afya ya mama na mtoto kwanza
 
Ushauri uko kwa kichwa chake na anajua kati ya nyekundu na nyeusi rangi ipi inapendeza machoni pake na ikiwa wewe ndiye huu ndo ushauri wangu kwako.
 
Back
Top Bottom