Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Haya mkuu...nimeacha kuhadaika.Usihadaike na dp mkuu nnasura ya baba umbo la mjomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mkuu...nimeacha kuhadaika.Usihadaike na dp mkuu nnasura ya baba umbo la mjomba
Akichagua Joe (Dr) halafu akaja kujifungua mtoto wa mumewe (Sam)?
Teh teh...kwanini unasema nazingua?
Mbona hainihusu hii kitu....
Kwa maarifa niliyojaliwa ...ningejua cha kufanya.....
Haya niambie Aku afanye nini?
Asivunje sasa hivi. Akikaribia kujifungua inabidi arudi kwao ili aweze kujua mbivu na mbichi kabla ya wahusika alafu mambo mengine yafuateKwa hivyo...itabidi avunje ndoa.....maana mumewe hayuko tayari kuwa familia.
Na akizaliwa wa mumewe?
Bby una maneno makaliNi uzembe uliopitiliza mwanamke kutojua mimba ni ya nani kati ya wanaume wawili ama alikuwa anakitembeza kuzidi hiyo idadi tena daktari!!! Ningekuwa ndo yeye ningejizaba makofi mawili mazito
Mumewe alimuuliza ....akamwambia ndio ni kipimo chake.....Aku alijuaje kuwa kipimo cha mimba alichotupa kwenye taka kimeonekana na mumewe?
Aku alijuaje kuwa picha za scan zimeonekena na huyo dokta wa mapenzi??
Tuanzie hapo kwanza.
Bby una maneno makali
Ni kweli kabisa afya ya mama na mtoto kwanza. Ninacho maanisha si kwamba ajifungulie nyumbani.Ni safari ndefu....kuishi na uwalakini....
Afya ya mama na mtoto kwanza
sawa bby. NimekusomaMh we nae una yako tu, nimeona aibu kumuita malaya nikazunguka bado tu napo,, ihiiiiiiiii
Duh! Mtihani kweliNa mimi nimemaanisha hiyo stress yakusubiria mpaka mtoto azaliwe...ndio ajue baba....
Kwa kutojua mimba ni ya yupi ni wazi Aku ni mjinga apambane na hali yake
Hiyo mimba imeshajulikana ni ya nani? Hili zigo tu,, awaache wote akawe single maza akipima DNA ndo ampe muhusika mwanaeAolewe na Joe kwani akibaki na umewe atateseka moyoni