Mume na mke wa ndoa kuishi makazi tofauti ila hukutana kwa ajili ya sex

Aseeeeh kweli yajayo yanashangaza. Mweeeh
 
Maisha hayana mfumo rasmi.
Wengi watakushangaa na hawawezi kukuelewa.
Lakini lengo lako ni jema sana.
 
Sio ubinafusi tu na ujinga pia unachangia anahisi ndoa is all about sex ajawaza kuhusu malezi ya watoto watakuweje kwa huo mfumo wao

Watakaa na mama yao, ntawatembelea wakati wa likizo na sikukuu tu
 
Unapingana na mapenzi ya Mungu ! Alimpelekea Adam Eva ili waishi pamoja. Imeandikwa "ndoa imewaunganisha mwili mmoja "
 
malezi na makuzi ya watoto nizaidi ya hvyo unavyo waza sasa.
We bado haujawa tayari kuwa baba acha tu kuzaa

Maadam wananijua kuwa ni baba yao inatosha. Nitakuja wakati wa likizo na sikukuu tu. Vinginevyo watalelewa na mama yao, na nitaongea nao kwa simu kuwajulia hali
 
Kwahiyo nyumba unayoishi ni vigumu kuwa na upendo na mwenzi wako, hebu tafta makazi mengine then lete mrejesho hapa
 
sio mzima wewe....unahitaji ushauri wa kisaikolojia. Unaweza kusema una fikra tofauti na za kimapokeo, lakini hili kisaikolojia pia liatzidi kukuharibu,tafakari!
 
nmesoma umri, nmegundua ujana na utoto umekithiri. Siwezi kukulaumu
 
Da tupo wengi aiseee...naipenda sana hii style ila sasa kumpata atakaekubali
 
Maadam wananijua kuwa ni baba yao inatosha. Nitakuja wakati wa likizo na sikukuu tu. Vinginevyo watalelewa na mama yao, na nitaongea nao kwa simu kuwajulia hali
kwanini wasikae na wewe baba yao mama analea wakifika miaka saba akupe na wewe au ndo choyo mpk kwa wanao😃
 
Siku unayokwenda kumtembelea usiende kwa kuvizia, mjulishe mapema kuwa unaenda ili kuepusha shari! Maana kwa uhuru huo lazima ajiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…