Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hongera, tafuta wa design hiyo maisha yaendelee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu ndoa sio jmb la mchez.Kama kichwa cha maada tajwa hapo juu je kwa mustakabali wa ndoa na familia je maisha hayo yanafaa au yana athari kwenye saikolojia na hisia?
Binafsi nimewaza Hilo Jambo nikavutiwa nalo natamani niwe na mke hata kama tunaishi naye tarafa moja ila kila mmoja akae kwake ila kila mkijiskia kukutana kwa ajili ya tendo. Mmoja anamfuata mwenzake na sababu ya mimi kutaka utengano huo wa ratiba za kimaisha, ni kwasababu najihisi nina tabia flani ya ubinafsi nikikaa na mtu nahisi nitamchoka tutakerana yaani means natamani niwe najipikia mwenyewe chakula changu naweza kufanya kazi zangu peke yangu niwe huru kiasi flani tu naishi kama kibachelor ndani mwangu ila upendo kwa mke wangu ubaki palepale
Kama Kuna shida kubwa ndo tunasaidiana ila hizihizi ndogo ndogo kila mtu anapambana kivyake.Mke ninayemuoa akitoka kazini anaenda chumbani kwake anakaa kwa kutulia na Mimi nikitoka mishe mishe naenda kwangu nafanya yangu najipikia zangu mabalance diet, nacheki movies, naperuzi JF sitaki bughudha chumbani kugombana gombana na mtu sitaki makelele.
Ina maana ukienda kumsalimia mwenzako unaenda kwa ajili ya mapenzi tu.Ndo maisha nayoyataka kuishi ila kumpata mtu wa hivyo najua Kuna ugumu Sana maana jamii itastaajabu hio style yenu ya maisha ila je kwa maoni yenu wadau mnaonaje huo mchongo si umekaa vizuri tu.
NB: Mtoa maada nina miaka 26, mfanyabiashara mdogo mdogo na mtumishi mtarajiwa na sijawahi kukaa na mwanamke nikaishi naye geto even for 2 weeks
KikulachoChako
Mshana Jr
The Boss
Sky Eclat
muonekno wa nje c kigez na hpo ndo 2napo feli.Daah hii style hata me napenda sema ndo hvyo huwez pata mke atakayekubali hii hali!! Yani hata mimi napenda sana uhuru uliopitiliza siez kaa na mwanamke zaid ya siku 2 namchoka kabisa! Ila watu waliopo kwenye ndoa big up kwenu aisee[emoji1316]
SahihiJiandae kushare na wanaume wengne.
Kuna raha yake kuamka ukaona mtu yupo pembeni yako
kwanz kle kitnd cha kuwa nae2 unajihic kma hko peponJiandae kushare na wanaume wengne.
Kuna raha yake kuamka ukaona mtu yupo pembeni yako
Em jifunze kwanza kuandika vizuri ndo urudimuonekno wa nje c kigez na hpo ndo 2napo feli.
hatm yke 2napat cfa kwa kuoa mwanmke mzur lkin tbia na matendo ww hufuraishw na vyo.
Anakera! Sasa kitnd maana yake ni kitanda, kitendo, kitundu au nini?Em jifunze kwanza kuandika vizuri ndo urudi
"Hii ni style ya maisha wanayoishi wachaga" kukutana kwao ni December.Kama kichwa cha maada tajwa hapo juu je kwa mustakabali wa ndoa na familia je maisha hayo yanafaa au yana athari kwenye saikolojia na hisia?
Binafsi nimewaza Hilo Jambo nikavutiwa nalo natamani niwe na mke hata kama tunaishi naye tarafa moja ila kila mmoja akae kwake ila kila mkijiskia kukutana kwa ajili ya tendo. Mmoja anamfuata mwenzake na sababu ya mimi kutaka utengano huo wa ratiba za kimaisha, ni kwasababu najihisi nina tabia flani ya ubinafsi nikikaa na mtu nahisi nitamchoka tutakerana yaani means natamani niwe najipikia mwenyewe chakula changu naweza kufanya kazi zangu peke yangu niwe huru kiasi flani tu naishi kama kibachelor ndani mwangu ila upendo kwa mke wangu ubaki palepale
Kama Kuna shida kubwa ndo tunasaidiana ila hizihizi ndogo ndogo kila mtu anapambana kivyake.Mke ninayemuoa akitoka kazini anaenda chumbani kwake anakaa kwa kutulia na Mimi nikitoka mishe mishe naenda kwangu nafanya yangu najipikia zangu mabalance diet, nacheki movies, naperuzi JF sitaki bughudha chumbani kugombana gombana na mtu sitaki makelele.
Ina maana ukienda kumsalimia mwenzako unaenda kwa ajili ya mapenzi tu.Ndo maisha nayoyataka kuishi ila kumpata mtu wa hivyo najua Kuna ugumu Sana maana jamii itastaajabu hio style yenu ya maisha ila je kwa maoni yenu wadau mnaonaje huo mchongo si umekaa vizuri tu.
NB: Mtoa maada nina miaka 26, mfanyabiashara mdogo mdogo na mtumishi mtarajiwa na sijawahi kukaa na mwanamke nikaishi naye geto even for 2 weeks
KikulachoChako
Mshana Jr
The Boss
Sky Eclat
Bora uamue moj tu.Hakuna kuolewa au umpate mwanaume kama mtoa madaSipendi kulala na mtu (labda mama angu tena nikiwa naumwa tu), pia kushare bathroom nikiwa nyumbani sitaki! Nikiolewa natarajia kulala vyumba tofauti .
NyetoUsisahau kumnunulia mkeo dildo, huku nawe ukijichukulia sheria mkononi(Nyeto) mara kwa mara.
NyieeUsisahau kumnunulia mkeo dildo, huku nawe ukijichukulia sheria mkononi(Nyeto) mara kwa mara.
Yaaani namuonea huruma huyo mke wakekwanini wasikae na wewe baba yao mama analea wakifika miaka saba akupe na wewe au ndo choyo mpk kwa wanao😃
Hii style nimeipenda ipelekwe bungeni kama mswada na ijadiliwe