Mume na mke wa ndoa kuishi makazi tofauti ila hukutana kwa ajili ya sex

Hongera, tafuta wa design hiyo maisha yaendelee....
 
Wakuu ndoa sio jmb la mchez.
Ndoa jmb la kher alilo lipng mung ikiwa mung kalizia ME na KE waish1 faida nkubw kma ikiwa walio howana wakkawa na hofu ya mung.
 
Daah hii style hata me napenda sema ndo hvyo huwez pata mke atakayekubali hii hali!! Yani hata mimi napenda sana uhuru uliopitiliza siez kaa na mwanamke zaid ya siku 2 namchoka kabisa! Ila watu waliopo kwenye ndoa big up kwenu aisee[emoji1316]
muonekno wa nje c kigez na hpo ndo 2napo feli.
hatm yke 2napat cfa kwa kuoa mwanmke mzur lkin tbia na matendo ww hufuraishw na vyo.
 
Waefeso 5:31 BHN

“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Wewe dini gani?
 
"Hii ni style ya maisha wanayoishi wachaga" kukutana kwao ni December.
 
Sipendi kulala na mtu (labda mama angu tena nikiwa naumwa tu), pia kushare bathroom nikiwa nyumbani sitaki! Nikiolewa natarajia kulala vyumba tofauti .
Bora uamue moj tu.Hakuna kuolewa au umpate mwanaume kama mtoa mada
 
vyumba tofaut mi sioni shida, unatoa hewa in peace. Nyumba tofaut hamuwezi kuwa wamoja, kuongeza bajet bila sababu, kushirikiana kulea, mwanamke kuishi nyumbani pekeyake sio salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…