View attachment 1766708
Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
Una miaka kumi baba yako ana miaka 80.
Kwani wewe unajua wataishi muda gani ?View attachment 1766708
Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
Duh! Basi Sayansi inatudanganya sanaKutoka Ivory Coast, hawakukata tamaa kumuomba Mungu kwa miaka 43. Hawa ndiyo watoto wa kwanza.
kinachonishangaza ni kwamba umri huo bado wanafanya mapenzi, wataretire lini? kwa upande mwingine, Mungu anaweza yote, mimi pia nilikaa sana na wife bila watoto lakini sasahivi tunapambana na vijiti na mavidonge kujikinga na mimba kwasababu Mungu ameshatupatia watoto wakutosha hadi hatuhitaji wengine. Mungu mkubwa sana, nawapa moyo wale wanaosubiri, kuna siku watashangaa wamepata watoto hadi waseme Mungu sasa basi.View attachment 1766708
Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
Hongera sana. Utukufu wa Mungu ni mkubwa.kinachonishangaza ni kwamba umri huo bado wanafanya mapenzi, wataretire lini? kwa upande mwingine, Mungu anaweza yote, mimi pia nilikaa sana na wife bila watoto lakini sasahivi tunapambana na vijiti na mavidonge kujikinga na mimba kwasababu Mungu ameshatupatia watoto wakutosha hadi hatuhitaji wengine. Mungu mkubwa sana, nawapa moyo wale wanaosubiri, kuna siku watashangaa wamepata watoto hadi waseme Mungu sasa basi.
Mmh kupata mtoto Ni kuongeza matatizo wewe unazani wew umezaliwa kwa chance au kwa choice let me tell you wengi wetu humu ndani tumezaliwa kwa chance hvyo wacha watoto wazaliwe umekoment Kam vile uko facebookView attachment 1766708
Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
Na mimi naitaka hioNinadhani kuna nguvu ya ziada.
Akifa na 100 si anakuwa ameshamuoza mtotoUna miaka kumi baba yako ana miaka 80.
Wakifikisha miaka 90 tu tayari watoto watakuwa watu wazima 20 years.Hata wakiishi miaka 30 watakua nursing home.
kinachonishangaza ni kwamba umri huo bado wanafanya mapenzi, wataretire lini? kwa upande mwingine, Mungu anaweza yote, mimi pia nilikaa sana na wife bila watoto lakini sasahivi tunapambana na vijiti na mavidonge kujikinga na mimba kwasababu Mungu ameshatupatia watoto wakutosha hadi hatuhitaji wengine. Mungu mkubwa sana, nawapa moyo wale wanaosubiri, kuna siku watashangaa wamepata watoto hadi waseme Mungu sasa basi.