mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Jamani jamani kama mkeo ni mfanyakazi natumai akitoka asubuhi kulekea job lazima atakuwa nadhifu sio kwamba umsifie kila siku hapana kuna siku huwa anapendeza tu frm Jan Dec jamani inaignore tafadhali jenga tabia ya kumchunguza hata kumuuliza hii saa umeinunua wapi nzuri next time unampsurprise na saa like that au hivo viatu ulivovaa leo vimekupendeza utaona tabasamu utakalopewa am telling u utakuwa unatengeneza paradiso home kwako hata hair style au mkeo kanyoa? anapaka lipstick? waweza mchunguza wife leo lipstick yako imekolezea ukaweka na ka utani kidogo '' angalia mtu asijeibusu midomo yako mitamu nakwambia lazima akutumie msg mchana baby umeshakula, lunch njema lol''
msifie mkeo anapopendeza sio kumkebehi tuu na kumwambia mbona huna nguo za kuvaa mpige shopping msindikize mkanunue wote nguo zake hata kama ni za mtumba nakwambia labda awe HAPENDEKI lazima utaona mabadiliko
Asante kwa somo zuri sakapal, nimekusoma vizuri!