mume na mke

mume na mke

Jamani jamani kama mkeo ni mfanyakazi natumai akitoka asubuhi kulekea job lazima atakuwa nadhifu sio kwamba umsifie kila siku hapana kuna siku huwa anapendeza tu frm Jan Dec jamani inaignore tafadhali jenga tabia ya kumchunguza hata kumuuliza hii saa umeinunua wapi nzuri next time unampsurprise na saa like that au hivo viatu ulivovaa leo vimekupendeza utaona tabasamu utakalopewa am telling u utakuwa unatengeneza paradiso home kwako hata hair style au mkeo kanyoa? anapaka lipstick? waweza mchunguza wife leo lipstick yako imekolezea ukaweka na ka utani kidogo '' angalia mtu asijeibusu midomo yako mitamu nakwambia lazima akutumie msg mchana baby umeshakula, lunch njema lol''
msifie mkeo anapopendeza sio kumkebehi tuu na kumwambia mbona huna nguo za kuvaa mpige shopping msindikize mkanunue wote nguo zake hata kama ni za mtumba nakwambia labda awe HAPENDEKI lazima utaona mabadiliko

Asante kwa somo zuri sakapal, nimekusoma vizuri!
 
kuondoa stress hizi kunawakina mama wengi wanaamua kuhamishia mapenz kwa watoto kwa kuwatoa out every sunday after church 1st service hamna kurudi home hadi jioni kuoga na kulala ready kwa monday sasa baba nae anaona wife anafaidi so next weekend anawawah watoto nae kuzunguka nao outing na kurudi jioni kuoga kulala watoto wanenjoy ila mke au mume wakikutana chumbani usiku ndita kama kawa utasikia unanilalia na mguu wako sogea uko lol cjui nn kifanyike kuokoa haya maswaibu :help:

Aaaha sakapal hii hali (in red) ilishakutokea nini? manake......... loh!
 
ur right a fed up woman anakuwa kama upanga anakata kotekote bora liende na hapo ndoa huvunjika haisaidii mwanume kubadilika ila huwa hana nafasi ya kutengeneza tena anakuwa si polite tena. Akikimbilia vidum nje inakuwa kama mwanaume anavokuwa na nyumba ndogo, hawekezi huko hazai haombi hela ya mafuta ya gari wala ya salun wala kujengewa nyuma yeye anahitaji kula raha na kupigwa mtwango tu tena anapohitaji.
eeenhee nimekumbuka kuna movie moja aliigiza IRENE UWOYA sikumbuki inaitwaje ila its like ninavosimulia hapa she was a gud wife but married to a worse husband mwishowe alikuja kuwa player pale anapotaka mwanaume ndo anakuwanae akimchoka anamtimua ila mwisho alikuja pata true love

Sina uhakika sana kama hayo ya kwenye movie ni ya ukweli au huwa tu ni fikra za binadam. Ila hapa umeshasema kuwa suluhu yake ni kuachana na kuanza upya! Yanapotokea hayo, ni kuwa compatibility imepotea (hata kama mwanzoni ilikuwepo). Sasa maelewano (compatibility) yakipotea; wapo wanaofanikiwa kuyarudisha! Ila kwa wengi inakuwa imeshatoka; yaani inakuwa ni vicious cycle ya ugomvi na migogoro. Mgogoro mmoja huanzisha mwingine, wenye busara zao huona kuwa hapo ni mwisho wa mapenzi, naam, mapenzi huisha ati!

Sasa yakiisha badala ya kufanyiana vituko ndani ya ndoa, ni afadhali kutoka na kuanza upya! Vituko ndani ya ndoa huweza kusababisha madhara makubwa ya kudumu; kupigana, kuharibiana mali, kuhujumiana, n.k.

Mara nyingi wanawake ndo wenye matatizo katika hili; yaani akiona maelewano hamna, badala ya kuchapa lapa, anaanza vituko ili hatimaye mwenzie amfukuze ili yeye apate huruma ya jamii kuwa kafukuzwa au kapigwa, n.k.

Mara nyingi wewe unayeona kuwa mwenzio ndo tatizo, unakuwa wewe ndo tatizo. Yaani unachoona ni kuakisiwa kwa tabia zako kwa mmeo, kama vile unavyotazama kioo ukajiona. Sasa uzuri hapa ni kuwa yule anayeona tatizo angekuwa ndo wa kwanza kuchukua "initiative" ya kujiondokea badala ya kuanza vituko na viroja ambavyo huzidisha ugomvi na kuugeuza kuwa uhasama!
 
All these are stories but the truth is that a square peg doesn’t fit into a round hole. In batter trade a double coincidence makes the best deal. Any marriage that is filled with unhappiness for each other is an indication that there were irregularities even before the marriage itself. However, one of the partners absorbed (or ignored) such irregularities hoping marriage will change all that. Never. They don’t easily change. Refer to my 1[SUP]st[/SUP] and 2[SUP]nd[/SUP] statement.
 
Aaaha sakapal hii hali (in red) ilishakutokea nini? manake......... loh!

heheheeeeee hiyo sanaa tuu kama ushakaa kwenye ndoa zaidi ya miaka mitatu mbona sanaaa tu lol hahahahaaaa
 
Hilo umesema kweli kabisa na inaonekana unajua vizuri mambo ya uhusiano, wanaume wa kiafrika wengi wako hivyo nadhani pia na utamaduni wa kujiona wao wako juu ya kila kitu.
I hate that tabia
 
Je kutokana na uchunguzi wangu niko sawa juu ya hii? naombeni maoni yenu pia,

Mwanaume ambaye yuko insecure juu ya mke wake katika maeneo yote yaani kuanzia kitandani hadi kimaongezi na utashi atakuwa hivi,
-Anamtukana mke wake na kumtamkia maneno ya kumuudhi kwa kosa dogo tuu, kosa lake yeye mwenyewe mwanaume, kosa lililofanyika zamani na kuchukulia ndo ulivo wew mwanamke.
-Hajiamini kama amefanikiwa kuwa na mke mzuri na anammiliki hadi watu wa nje wamwambie, kitu kizuri akiambiwa na mkewe hakikubali hadi aambiwe na mtu wa nje.
-Akifanya kosa na likionekana live-kubambwa au kufumwa akifanya uovu huwa mpole kama choroko na huomba msamaha kama mtoto na kuahidi kutorudia tena na kesho akirudia hilo kosa usithubutu kumkumbusha kwasababu utakula makofi hadi usahau jina lako
-Anatumia kilevi kupata confidense ya kujieleza na anajihisi hasikilizwi na kuishia kutishia nikijua unamahusiano nje utakoma
-Hujibu dry au short kwa story anazopigiwa na mkewe hata za kuchekesha ili kuvunja ukimya na mwisho huyageuza maongezi kuwa ugomvi na mwisho hasira na kurushiana maneno machafu na mwisho kununiana

Wanaume hawa huwa kero kwa wake zao wazuri na mwisho wa yoote mke hutafuta stress release nje itakayo mchekesha, itakayomfanya akijirembe asifiwe umependeza, hata zawadi ya pipi tu hutosha kumteka mwanamke wa namna hii
mwnamke huyu huwa amejeruhiwa tayari na akipata mtu anayemjali kwa kumsikiliza na kuongea na e kwa upole hulala na kuwaza muda wote maongezi mapya na kukunja ndita kwa mume wake.

Angalizo mwanaume wa jinsi hii tunzamke wako akipata wanaomjali nje hatakusikiliza tena na hatakuwa anaogopa kuvunja ndoa.
-Wanawake wengi wa dhahama ya ndoa kama hii hujaribu kwa nguvu zao zote kujenga hiyo ndoa isibomoke pamoja na kero zote wanazopata ila ogopa A FED UP WOMEN!!

Hiyo red imewajengea wanawake reputation na jina baya (m.l.y.). Yaani yeye akiboreka ndani, kugawa dudu nje ndo solution. Akiamua kutoka nje si atoke kimoja ijulikane? Sasa tatizo unakuta nje yuko, na ndani anang'ang'ania. Halafu anasema yuko FED-UP. Ukiwa fed-up, inatakiwa uchukue hatua. Kwenda kugawa dudu nje ndo kutaondoa hilo tatizo au ni yale yale tu ya kutafuta justification za kufanya ufirauni uliokuwa unautaka tokea mwanzo??

Ndo kama wale wanaokwenda kujipanga mafungu kama dagaa mitaani wakisubiri mnunuzi halafu ukiwauliza wanasema maisha magumu! Hivi suluhu ya maisha magumu ndo hiyo?

Hizi argument dhaifu kuwa mwanamke akiwa fed-up na ndoa yake basi u.m.a.l.y.a ndo suluhu zinashangaza sana. Hii inaonekana kuwa wanawake wengi wanategemea sana dudu lao kama negotiation tool au??
 
Hiyo red imewajengea wanawake reputation na jina baya (m.l.y.). Yaani yeye akiboreka ndani, kugawa dudu nje ndo solution. Akiamua kutoka nje si atoke kimoja ijulikane? Sasa tatizo unakuta nje yuko, na ndani anang'ang'ania. Halafu anasema yuko FED-UP. Ukiwa fed-up, inatakiwa uchukue hatua. Kwenda kugawa dudu nje ndo kutaondoa hilo tatizo au ni yale yale tu ya kutafuta justification za kufanya ufirauni uliokuwa unautaka tokea mwanzo??

heheheeeeee haya bwana uzuri wake kila mtu na mtazamo wake that was mine,
Before a women is fed up anajaribu kutengeneza mambo yaende sawa akiona hamna nafuu anatafuta jinsi ya kupunguza stress nje kama wanaume wanavofanya kwa nyumba ndogo hii ipo kwa ndoa za sku hz zamani wanawake walikuwa wanatuli kwenye ndoa so hii ni msg kwa wanaume wote wanawake wengi now kwenye ndoa nao wanamahusiano nje sio wanaume tuu ndo mana wanasema mtandao wa VVU hauwezi kuisha.
Na mwanamke akishakuwa FED UP huwa hasubiri umtimue either ataondoka mwenyewe au atakutimua wewe na yeye atakula gudlife iwapo tu atakuwa finacially stable and not rich.
Jamii inaenda inabadilika itafika mahali mwanamke hataonekana malaya tena kwa kutoka nje ya ndoa bali itakuwa kama anavoonekana mwanaume akitoka nje ya ndoa so life goes like that
 
Kutoka nje iwe kwa mwanamke au mwanaume si kwenda kula gud life. Nani kadanganya kuwa nje ndo kuna gud life? Kutoka nje ni part ya frustrations zenyewe na haiondoi stress hata kidogo. Mwanamke na mwanaume anayejielewa, akishajaribu kurekebisha mambo yakashindikana anavunja ndoa na kuanza mbele. Hawa unaowazungumza wengi humu ni wenye mawazo hayo ya kuamini kuwa ukitoka nje ndo kuna gud life!! Ajabu! Kama kuna gud life kwa nini usitoke for good??
 
Hahahahaaaaa kuna vitu ni nature na nature inatawala tuu, hata ufanyaje mto hauwezi badili njia yake. Kitu cha kuiba kitamu kwani wewe hujawahi kuiba hata andazi nyumbani mama alipokuwa akipika? au nyama wife akipika jikoni? kama wewe ni mwanaume utaniambia utamu wa nyumba ndogo na huwezi kuifanya mke kamili inanoga ikiwa ndogo hivohivo. Hapa kutoka nje kwa mwanaume au mwanamke ni kutafuta faraja ukiikuta unaendelea kuiba ukiikosa na kukuta hovyo unatafuta kidum kingine. ninachokiongelea hapa ni nature hivi vitu vinatokea live humuhumu duniani wewe kama unaona ni uhuni ni mtazamo wako ila watu wanapata faraja za mioyo yao na kupunguza hasira za ndoa zao. Au waulize walevi wanapokunywa pombe ili wapunguze mawazo huwa inasaidia au wanaishia kuwa alcoholism? wanaenjoy na kujipa furaha wanayoipata ila wewe wa nje unaona tabu na kero,
 
Good,

Sasa kama vya kuiba vitamu kwa nini unasema kuiba kunasababishwa na kunyanyasika ndani??? Angalia unachoongea! Kutoka nje ni NATURE kwa mwenye tabia hiyo na hilo halitazuiwa na mme/mke kuwa mwaminifu au kutomnyanyasa huyo anayetaka kutoka nje! Fine Fine, sasa soma bandiko lako la mwanzo ulinganishe na hiki unachokisema hapa!!!

Hahaaa, ukishakuwa na katabia, usitafute jinsi ya kukahalalisha kwa kutumia visingizio vya kunyanyaswa au kupigwa au nini! Wanaotoka wanatoka sababu wanapenda na wanataka kutoka!! Mengine yote visingizio tuuu
 
Back
Top Bottom