mume na mke

mume na mke

Mwanaume siku zote hapendi kuoneka mwenye makosa au kuonekana yuko chini,hata kama kosa amefanya yeye hutaka kuligeuza na kuwa la mwanamke.

Mkuu hivi unajua nini kinaweza kumtokea Mwanaume, pale mwanamke atakapoweza kumuona mwanaume katika namna hiyo??

Kuna tabia zingine za wanaume zipo kwa sababu zilimaanishwa ziwe hivyo ili kuweka uwiano wa kimahusiano
 
1.Jitahidi kumpenda mtu mnaye'fitiana'..kielimu, kiuchumi na kimtazamo.

Unajua unanichekesha mkuu SnowBall, yaani unaeleza utafikiri kumpenda mtu ni suala la mkakati...!

Hapana, kumpenda mtu ni suala la hisia tu ambalo halihitaji maelezo ya zaidi kuwa huyu ni nani na anafanya nini...

Mbaya sana (Ila ndio utamu wa mapenzi) ni kuwa mnapokuwa kwenye hizo hisia huwa huoni pungufu lolote.

Hapa hujatoa suluhisho .... lol

Suluhisho ni moja tu........... "Penzi halihoji kitu..., we penda tu"
 
Last edited by a moderator:
Hapana, kumpenda mtu ni suala la hisia tu ambalo halihitaji maelezo ya zaidi kuwa huyu ni nani na anafanya nini...Mbaya sana (Ila ndio utamu wa mapenzi) ni kuwa mnapokuwa kwenye hizo hisia huwa huoni pungufu lolote...Hapa hujatoa suluhisho .... lol..Suluhisho ni moja tu........... "Penzi halihoji kitu..., we penda tu"

Kama ni play sawa..but kupenda kunakoendana na kuoana..i hardly agree with you jouneGwalu
 
Last edited by a moderator:
Yeah But the last time I checked a woman is also a human being capable of making intuitive deductions. Ana sehemu kubwa ya kuhakikisha ndoa yake inakuwa ya furaha pia sio kukimbilia uzinzi na kuto'earn' mistakes zake kisha kusingizia hakuwa anasifiwa na mmewe.
Ni kweli unachosema kabisa ila inachosha sana pale ambapo mwanamke ndo unakuwa kila siku wa kujaribu kurejesha furaha au amani ndani ya ndoa kama vile mwanamke ndo unaihitaji saaana hiyo ndoa yeye mwanaume siku zote anasubiri uanze ndo mambo yaende sawa inachosha na maudhi yakizidi huduma kwa mke inapungua na ndo hapo mwanaume anaanza kutoka nje au kuhesabu mapungufu ya mke bila kuhoji chanzo cha tatizo ni nn. Mara nyingi mwanaume anataka tatizo liishe hivihivi tu bila kulitatua na usamehe au uombe msamaha muendelee ila likiwa tatizo kwa mwanamke ni ishu hawana subira wala uvumilivu ni matusi vipigo na tatizo litaongelewa miezi sita lol its sooo tiresome aah!
 
Mkuu nadhani sakapal hakumalizia vizuri utafiti wake, otherwise angegundua kuwa wanaume wengi wasiojiamini wanasababishiwa na wake/wapenzi wao. Usikute hata bro wake naye alisababishiwa na mkewe!

Kwakweli hapo sijajua ila nilichokuwa nataka kusema hapa makosa kwenye ndoa yanafanyika kwani sie wote ni wanadamau na si malaika ila kosa akilifanya mwanamke ni kosa kubwa ila kosa akilifanya mwanaume limezewe na liishie hapo tu na lisikumbushiwe hata likirudiwa kwa trend hii mwanamke anakereka na anachoka haraka. Mfano hii ilijulikana hadi kwenye familia yote bro alikuwa anamtongoza na haousegirl na yule mschana hakukubali akaondoka bila kuaga nyumba kaiacha wazi kuja kumfatilia y umefanya hivo coz vitu vingeibiwa ndo akasema huo ukweli kuulizwa bro wakati huo familia yote ishajua akasema samahani familia sitarudia tena it was soo kwa wifi na alikuwa mjamzito that time na watoto wadogo just emagine two years later same scenario repeated wifi akasema nimechoka kuishi nawewe na mambo yako ila kama mwanamke anatatizo y wanaume hawaliongelei na kulitatua? ila wao wakiwa na tatizo lisamehewe fast loooh!
 
mwanaume siku zote hapendi kuoneka mwenye makosa au kuonekana yuko chini,hata kama kosa amefanya yeye hutaka kuligeuza na kuwa la mwanamke,lakini ,mengine huchagizwa zaidi na tabia ya mtu binafsi pamoja na mazingira aliyokulia nayo.

hapa ndipo shida huanzia hapa kwa nini? Wanaume wakirekebisha hapa itakuwa shwarii tu kwa wake zao
 
sakapal naomba kujifunza zaidi kuhusu umuhimu wa hapo kwa red. Manake sinaga mazoea ya kumsifia mwandani wangu. Si kwamba siwezi kufanya hivyo, ila ni kwamba sijuagi mashiko yake, hivyo huwa na-ignore tu!

Jamani jamani kama mkeo ni mfanyakazi natumai akitoka asubuhi kulekea job lazima atakuwa nadhifu sio kwamba umsifie kila siku hapana kuna siku huwa anapendeza tu frm Jan Dec jamani inaignore tafadhali jenga tabia ya kumchunguza hata kumuuliza hii saa umeinunua wapi nzuri next time unampsurprise na saa like that au hivo viatu ulivovaa leo vimekupendeza utaona tabasamu utakalopewa am telling u utakuwa unatengeneza paradiso home kwako hata hair style au mkeo kanyoa? anapaka lipstick? waweza mchunguza wife leo lipstick yako imekolezea ukaweka na ka utani kidogo '' angalia mtu asijeibusu midomo yako mitamu nakwambia lazima akutumie msg mchana baby umeshakula, lunch njema lol''
msifie mkeo anapopendeza sio kumkebehi tuu na kumwambia mbona huna nguo za kuvaa mpige shopping msindikize mkanunue wote nguo zake hata kama ni za mtumba nakwambia labda awe HAPENDEKI lazima utaona mabadiliko
 
sakapal ungefafanua kwa mfano halisi ingekuwa haki zaidi, ila kwa hivyo ulivoiacha imekaa kiujumla-jumla hivyo hivyo inapoteza uhalisia sababu sio wote wanaokunywa pombe wanafanya hizo tabia za kishamba...

Ila yote kwa yote huyo mwanaume unayemaanisha hajafaulu kwenye mtihani wa The Boss kwa huyo mtu kuitwa
Mwanaume.

Mmmh! sijakuelewa nawe unamaanisha nini kusema mwanaume hajafaulu mtihani wa The Boss naomba ufafanuzi tafadhali
au the boss mwenyewe aelezee ni nini hii.
Nilishasema kwamba sio wanaume wote wako hivo hii ni kutokana na niliowaona au kuwafahamu ila huu ni mfano mmoja wa bro wangu kati ya mifano mingi niliyonayo. Na wote wanatabia hii ya kuwashusha wake zao na kutokuonyesha kuwathamini na kuwadharau vibaya wake zao.
 
Ndio maana nasema lazima tujifunze kitu hapa..nini kimepelekea bro wako kuwa hivyo???
Kwa sababu yote unayoeleza ni matokeo ya 'inferiority'..je nini tunaeza kufanya ili kuepuka?
Hili ndio nataka tujadili!!

lazima kuna sababu ya haya yote haiwezekani mtu akawa inferior tu bila sababu.....
>>inawezekana jamaa ameshawahi kumfumania mkewe
>>au anajua anauhusiano na mwanamme mwingine
>>au huyo mwanamke bado ana urafiki na mawasiliano X-bf wake
>>inawezekana ameshawahi danganya mara nyingi na hata kusema anaenda nyumbani halaf mwanaume akagundua kuwa yuko kwa bwana mwingine
>>au anamlinganisha mumewe na wanaume wengine ambao amewahi kuwa nao
>>inaweza ikawa anataka kufanyiwa vitu ambavyo mumewe hana uwezo navyo na kusema mbona fulani mumewe amemnunulia
>>nk

haya ni baadhi tu ya mambo ambayo yanaweza kumfanya mwanaume ajihisi hana thamani au anadharauliwa na mwanamke na kwa vyovyote vile anakuwa hana sababu ya kujifeel secure.....
 
Kwakweli hapo sijajua ila nilichokuwa nataka kusema hapa makosa kwenye ndoa yanafanyika kwani sie wote ni wanadamau na si malaika ila kosa akilifanya mwanamke ni kosa kubwa ila kosa akilifanya mwanaume limezewe na liishie hapo tu na lisikumbushiwe hata likirudiwa kwa trend hii mwanamke anakereka na anachoka haraka. Mfano hii ilijulikana hadi kwenye familia yote bro alikuwa anamtongoza na haousegirl na yule mschana hakukubali akaondoka bila kuaga nyumba kaiacha wazi kuja kumfatilia y umefanya hivo coz vitu vingeibiwa ndo akasema huo ukweli kuulizwa bro wakati huo familia yote ishajua akasema samahani familia sitarudia tena it was soo kwa wifi na alikuwa mjamzito that time na watoto wadogo just emagine two years later same scenario repeated wifi akasema nimechoka kuishi nawewe na mambo yako ila kama mwanamke anatatizo y wanaume hawaliongelei na kulitatua? ila wao wakiwa na tatizo lisamehewe fast loooh!

unachosema ni sawa ila wanawake na nyie muwafanyie vyema waume zenu.....kufanya kitu inabidi kitoke moyoni
huwezi kusikia raha ya kumsifia mke wako ikiwa yy ana kudharau au ana vidumu, kuna wanawake hawawezi kukubali kosa mpaka aone una ushahidi wa kutosha ndo anakubali na kuwa mpole maana utakuwa umemkamata...kwa mazingira haya unafikiri neno I LOVE YOU au UMEPENDEZA linaweza kutoka kirahisi....kwanza linakuwa gumu na zito ni bora uende kulima kuliko kuyatamka haya maneno bila furaha
 
ni eona kila mtu anaona ya mwenzie na hakuna anaeona yake ndo maana wazee wetu walisema nyani haoni kundule.
Mtazamo wangu kwanini wanandoa wasiamue once in every six months kureconcile ndoa na kuenjoy kuliko kukimbilia site na kukaa bar till late hrs? mimi naamini maongezi hujenga kukiwa na kusikilizana na kusamehe na kuahidi kutorudia na kumkumbusha mwenzio pale unapoona anaanza kuanguka before hajaanguka ili kuweka peace home na kulea watoto. Maana inafikia mahali kila mtu anafanya mambo yake akiishiwa ndo mnarudi kuongea ukipata pesa yako kibindoni lol
 
hapo kwenye kukaa chini mkaelewana ndo ilipo shughuli....tatizo ni kudharau matatizo madogo madogo na kudhani mwenzangu anatakiwa kuelewa na kuliacha kimya bila kulizungumzia kumbe mmoja wao hajaridhika....ni bora mkae mzungumze yaishe pindi tatizo linapotokea lakini ukilimbikiza lazima itakuwa msala na itakuwa ngumu sana kuweza kukaa chini mzungumze maana mtaanza kukumbushia yale ambayo hayakufikiwa muafaka na ugomvi kuanza upay
 
kuondoa stress hizi kunawakina mama wengi wanaamua kuhamishia mapenz kwa watoto kwa kuwatoa out every sunday after church 1st service hamna kurudi home hadi jioni kuoga na kulala ready kwa monday sasa baba nae anaona wife anafaidi so next weekend anawawah watoto nae kuzunguka nao outing na kurudi jioni kuoga kulala watoto wanenjoy ila mke au mume wakikutana chumbani usiku ndita kama kawa utasikia unanilalia na mguu wako sogea uko lol cjui nn kifanyike kuokoa haya maswaibu :help:
 
simply by talking na kubali kumsikiliza mwenzio aongee na aseme lile lililoko moyoni mwake ili upate kujua nini tatizo au yy anafikiri nn then unaweza kupata pa kuanzia ku solve tatizo kwa upole badala ya kubishana wakati ww ndo unaetuhumiwa ...hii itasaidia kuona kumbe unaweza kumsikiliza mwenzio kwa upole na kumjibu kwa upole hata km alikuwa mkali akiona unamsikiliza na yy atakuwa mpole mtafikia muafaka na litaisha
 
hii ni nature ya wanawake kama wanavyoeleweka kwamba ni ua au pambo la nyumba shurti kulisifia au kulitambua kama lipo

Afadhali umejisemea mwenyewe. Wanaume wakisema hivyo sauti zitapazwa sana kwamba ni unyanyapaa kumbe ni hali halisi
 
Mwanaume siku zote hapendi kuoneka mwenye makosa au kuonekana yuko chini,hata kama kosa amefanya yeye hutaka kuligeuza na kuwa la mwanamke,lakini ,mengine huchagizwa zaidi na tabia ya mtu binafsi pamoja na mazingira aliyokulia nayo.

Wengine ni VICE VERSA, KINYUME CHAKE NDIYO HIVYO
 
Je kutokana na uchunguzi wangu niko sawa juu ya hii? naombeni maoni yenu pia,

Mwanaume ambaye yuko insecure juu ya mke wake katika maeneo yote yaani kuanzia kitandani hadi kimaongezi na utashi atakuwa hivi,
-Anamtukana mke wake na kumtamkia maneno ya kumuudhi kwa kosa dogo tuu, kosa lake yeye mwenyewe mwanaume, kosa lililofanyika zamani na kuchukulia ndo ulivo wew mwanamke.
-Hajiamini kama amefanikiwa kuwa na mke mzuri na anammiliki hadi watu wa nje wamwambie, kitu kizuri akiambiwa na mkewe hakikubali hadi aambiwe na mtu wa nje.
-Akifanya kosa na likionekana live-kubambwa au kufumwa akifanya uovu huwa mpole kama choroko na huomba msamaha kama mtoto na kuahidi kutorudia tena na kesho akirudia hilo kosa usithubutu kumkumbusha kwasababu utakula makofi hadi usahau jina lako
-Anatumia kilevi kupata confidense ya kujieleza na anajihisi hasikilizwi na kuishia kutishia nikijua unamahusiano nje utakoma
-Hujibu dry au short kwa story anazopigiwa na mkewe hata za kuchekesha ili kuvunja ukimya na mwisho huyageuza maongezi kuwa ugomvi na mwisho hasira na kurushiana maneno machafu na mwisho kununiana

Wanaume hawa huwa kero kwa wake zao wazuri na mwisho wa yoote mke hutafuta stress release nje itakayo mchekesha, itakayomfanya akijirembe asifiwe umependeza, hata zawadi ya pipi tu hutosha kumteka mwanamke wa namna hii
mwnamke huyu huwa amejeruhiwa tayari na akipata mtu anayemjali kwa kumsikiliza na kuongea na e kwa upole hulala na kuwaza muda wote maongezi mapya na kukunja ndita kwa mume wake.

Angalizo mwanaume wa jinsi hii tunzamke wako akipata wanaomjali nje hatakusikiliza tena na hatakuwa anaogopa kuvunja ndoa.
-Wanawake wengi wa dhahama ya ndoa kama hii hujaribu kwa nguvu zao zote kujenga hiyo ndoa isibomoke pamoja na kero zote wanazopata ila ogopa A FED UP WOMEN!!

Then mwanamke huyo akifanya hivyo unavyosema, a fed up woman anafanyaga, je hufanikiwa kumgeuza huyu mwanaume kuwa mzuri kama anavyotaka yeye? Je huo wa kukimbilia nje nao si udhaifu mwingine unaofanya wanawake waitwe majina mabaya?
 
ur right a fed up woman anakuwa kama upanga anakata kotekote bora liende na hapo ndoa huvunjika haisaidii mwanume kubadilika ila huwa hana nafasi ya kutengeneza tena anakuwa si polite tena. Akikimbilia vidum nje inakuwa kama mwanaume anavokuwa na nyumba ndogo, hawekezi huko hazai haombi hela ya mafuta ya gari wala ya salun wala kujengewa nyuma yeye anahitaji kula raha na kupigwa mtwango tu tena anapohitaji.
eeenhee nimekumbuka kuna movie moja aliigiza IRENE UWOYA sikumbuki inaitwaje ila its like ninavosimulia hapa she was a gud wife but married to a worse husband mwishowe alikuja kuwa player pale anapotaka mwanaume ndo anakuwanae akimchoka anamtimua ila mwisho alikuja pata true love
 
Back
Top Bottom