Mume wa Dada ake Diamond (Esma) Kumbe ni zilipendwa na Hamisa!!

Mume wa Dada ake Diamond (Esma) Kumbe ni zilipendwa na Hamisa!!

Huyo Mobeto mbona kabadilika rangi kama Wema tu?Mondi anapenda watumia mikorogo eh!
 
Kwa hiyo daimond KAZALISHA "MAKOMBO" tupu
Yaani zarinha makombo ya ivanh na hamisa makombo ya jamaa wa eefm na petttttt man
Hahahahaaaaa nakumbuka alimwambia alikiba jokate ni makombo.
 
Back
Top Bottom