Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Koppa ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM Jaffar Ali Yusuf amefaiki dunia mapama asubuhi ya leo katika Hospitali ya Muhimbili.
Kwa mujibu wa baadhi ya ndugu wa marehemu wamesema ndugu yao huyo alikuwa nanaumwa kwa muda merufu na alianza kuumwa siku chache baada ya kushinda kiti cha udiwa ni katika kata hiyo. Hata hivyo ndugu hao hawakuwa tayari kusema aina ya ugonjwa uliokuwa unamkabili ndugu yao huyo.
Ikumbuke kuwa Bwana Jaffar Ali Yusuf alichaguliwa kuwa diwani wa kata ya Magomeni miezi michache iliyopita baada ya diwani wa alikuwa anaogoza kata hiyo kupitia CCM Abdalah Mshindo kufariki dunia mwaka jana.
Habari kamili zitakuja kadri tutakapo zipokea
Hiyo kata ina gundu sana kila Diwani anakufa
Marehemu siku ya mnuso wake na malkia wa mipasho