Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Koppa ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM Jaffar Ali Yusuf amefaiki dunia mapama asubuhi ya leo katika Hospitali ya Muhimbili.

Kwa mujibu wa baadhi ya ndugu wa marehemu wamesema ndugu yao huyo alikuwa nanaumwa kwa muda merufu na alianza kuumwa siku chache baada ya kushinda kiti cha udiwa ni katika kata hiyo. Hata hivyo ndugu hao hawakuwa tayari kusema aina ya ugonjwa uliokuwa unamkabili ndugu yao huyo.

Ikumbuke kuwa Bwana Jaffar Ali Yusuf alichaguliwa kuwa diwani wa kata ya Magomeni miezi michache iliyopita baada ya diwani wa alikuwa anaogoza kata hiyo kupitia CCM Abdalah Mshindo kufariki dunia mwaka jana.

Habari kamili zitakuja kadri tutakapo zipokea

Hiyo kata ina gundu sana kila Diwani anakufa

image001.jpg

Marehemu siku ya mnuso wake na malkia wa mipasho
 
mbona hadija kila mume wake anakufa .....uchawi mbaya sana rest in p"
 
Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Koppa ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM Jaffar Ali Yusuf amefaiki dunia mapama asubuhi ya leo katika Hospitali ya Muhimbili.

Kwa mujibu wa baadhi ya ndugu wa marehemu wamesema ndugu yao huyo alikuwa nanaumwa kwa muda merufu na alianza kuumwa siku chache baada ya kushinda kiti cha udiwa ni katika kata hiyo. Hata hivyo ndugu hao hawakuwa tayari kusema aina ya ugonjwa uliokuwa unamkabili ndugu yao huyo.

Ikumbuke kuwa Bwana Jaffar Ali Yusuf alichaguliwa kuwa diwani wa kata ya Magomeni miezi michache iliyopita baada ya diwani wa alikuwa anaogoza kata hiyo kupitia CCM Abdalah Mshindo kufariki dunia mwaka jana.

Habari kamili zitakuja kadri tutakapo zipokea

kuepusha ili wampe mhusika wa hicho kiti tu..

RIP Jaffar
 
Pole sana Khadija kopa..
Mume ni mume...
Hasa ukizingatia alikuwa mdogo kwa khadija

huyu ndo mwanaume wa Kahdija aliyefariki, rest in peace diwani! pole mama Khadija kopa aka Top In Town kwa kufiwa na mume mwingine!
 
Attachments

  • kopa khadija.jpg
    kopa khadija.jpg
    19.8 KB · Views: 236
Wenye mji ndiyo wanatamka maneno hayo,ila wanasahau kama mda tuliopewa kuishi hapa duniani ni ule ule na siku kama j3,j4,j5,iwe kwa masikini ama tajiri zote zinahesabika the same,matokeo ya dharau zao ndiyo hivyo tena,kwa hyo gharama za uchaguzi zinajirudia na sasa cdm watasimamisha mtu tena na kama kauli na manyanyaso plus mapanga zitaendelea bs tutegemea RIP nyingine tena kwani Mungu sio mwanamalundi bwana anaona kila analotendeka hapa duniani
 
mwenyezi Mungu akuweke unapostahili mhe diwani, pia ampe roho ya subra na uvumilivu malkia wa mipasho ktk kipindi hiki kigumu cha msiba
 
Ya umri yanahusikaje na msiba?
Pole bibie Khadija Kopa

Hata km alikuwa mdogo haihusu ktk rambi rambi,angekuwa mdogo asingeoa huyo angekuwa akinyonya kwa mama yake,pole bi Khadija.
 
Kwani huyu bibi ana wanaume wangapi hapa mjini.... Maana amezaa zaa hovyo...
 
ni usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya lugalo..RIP Jafary Ally
 
pole hadija,huyu alikuwa mume wake wa 4.walikuwa wanapendana na kwenye nyimbo zake alikuwa akimfagilia,na mnaosema umri huyo jama sio mdogo kiivyo.hadija amemzidi kwa miaka 3 tu
 
Back
Top Bottom