Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

ally kombo anafuka povu....ukishaweka post ustaadh acha watu wachangie wa aina mbalmbal si tu wale watakaoendana na matakwa yako....KIFUPI TU ROHO YAKE IWEKWE MAHALI ANAPOSTAHILI.KWA NAMNA YA HUKUMU YA MUNGU. HZI NYINGNE NI BLAH BLAH TU.
 
R.I.P Diwani Jaffar

Poleni kwa watu wote walioguswa na msiba huu.

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
 
Unapafahamu mahali pema pa kuweka roho za watu au unaropoka? Kama papo hapo mahali kwa nini usiipeleke roho yako mwenyewe?
Mwacheni arejee mavumbini tu.
 
waombolezaji wenzangu mtu anapochafua hali ya hewa msibani hatugombani naye bali tunamhurumia tu.

R.I.P .......... HAKUNA ATAKAYEWEZA KUKIKIMBIA KIFO.
 
Pole zako mama K.O .K!!! Mungu akutie nguvu..! dah maana ameacha mapengo mawil, kwa nch yake na familia yake(au alkuwa hajazaa nae?) hata kama, powle xana.
 
Back
Top Bottom