Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

ewaaaa unavonipenda kaka ako najua hutakosea kunitafutia nke roho yangu inapenda.

ntakuja pm nikupe vivumishi vya wifiyo.
Hahahahahha daah pale mkolomije anapogeuka kua mzaramo sio kwa maneno hayo

Vivumishi navijua kaka usipate shida
 
Yaani ulichofanya hapa ni sawa na umepaki Noah kituoni Gongo la Mboto alafu unasema unataka wapakie tu Watoto wa Dangote, Bakhresa, Mengi, Manji, Mo Dewji au wa kaliba hiyo.

Unaweza ukabahatisha abiria mmoja, alafu ukija kumshtukia huko mbele atakwambia "mimi sikujua kama ulitaja Mengi, mimi nilidhani ulisema Mangi, maana mimi baba yangu Mangi mwenye duka pale kitaani"

Ingawa hata Mengi naye ni Mangi.
 
Hahahahahha daah pale mkolomije anapogeuka kua mzaramo sio kwa maneno hayo

Vivumishi navijua kaka usipate shida

hahaha mbona sasa unafanya mambo yawe magumu dada, andunje, mlokole na mkolomije tena?! tafadhali buana
 
Sintakuja shangaa ukipata mume humu
Ndoa ni bahati nasibu wapo waliokutana kwenye bus na mwisho wakaja kuwa na maisha murua kabisa ya ndoa
Nakuombea kila la kheri
 
Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir

Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid

Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu

Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo

Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)

Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali

Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde

Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%

Karibuni PM mwenye nia tu

Ni. Pm
 
Back
Top Bottom